Mabibo Football Foundation

Mabibo Football Foundation TAASISI YA KULEA NA KUKUZA VIJANA WENYE VIPAJI VYA KUCHEZA MPIRA WA MIGUU.

BURUDANI INAHAMIA MITAA YA MANZESE TIPTOP KWENYE UWANJA WA UKOMBOZI.KARIBUNI SANA
10/09/2024

BURUDANI INAHAMIA MITAA YA MANZESE TIPTOP KWENYE UWANJA WA UKOMBOZI.KARIBUNI SANA

Kwasasa Timu yetu inashiriki ligi daraja LA tatu ubungo,ligi hii inasimamiwa na chama cha mpira ubungo U.F.A na mapaka s...
09/09/2024

Kwasasa Timu yetu inashiriki ligi daraja LA tatu ubungo,ligi hii inasimamiwa na chama cha mpira ubungo U.F.A na mapaka sasa kwa mujibu wa kundi letu ,tumecheza michezo miwili na tumeweza kushinda michezo yote na tunaongoza kundi letu,ikiwa imebakia michezo mitatu kumaliza hatua ya makundi ,vijana wapo tunawaandaa ili kupambania nembo ya MFF na kulinda vipaji vyao.

HABARI,sasa Taasisi yetu ya MABIBO FF tunapatikana Facebook,hivyo basi Taalifa zote kuhusu Kituo chetu zitapatikana kwen...
09/09/2024

HABARI,sasa Taasisi yetu ya MABIBO FF tunapatikana Facebook,hivyo basi Taalifa zote kuhusu Kituo chetu zitapatikana kwenye ukurasa huu,pia mawasiliano ya viongozi yatapatikana endapo itahitajika kuyatoa ,wachezaji wetu tutawatangaza kupitia ukurasa huu,na yote yanayofanyika kwenye mazoezi na mechi zetu,piano kwa kijana mwenye kipaji ruksa kujiunga nasisi lakini kwa kufuata matakwa ya Taasisi.KARIBUNI SANA WANA MICHEZO KOTE ULIMWENGUNI.

Address

S. L. P 11016 Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mabibo Football Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category