Gamba Sports Academy

Gamba Sports Academy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gamba Sports Academy, Sport & recreation, 219 Bunda, Dar es Salaam.

Timu yetu ya under 15 imefanikiwa kuingia hatua ya fainali kwenye mashindano ya DM cup japokuwa ni vijana wadogo lakini ...
18/08/2026

Timu yetu ya under 15 imefanikiwa kuingia hatua ya fainali kwenye mashindano ya DM cup japokuwa ni vijana wadogo lakini wameonyesha uwezo mkubwa.

Tunamshukuru Mungu kwa kuwezesha timu yetu ya under 15 kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya DM cup.ndo timu pekee...
13/08/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kuwezesha timu yetu ya under 15 kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya DM cup.ndo timu pekee iliyoshinda mechi zote kwenye hatua ya makundi ikiwa na vijana wadogo.karibu Gamba Sports center 0741278470.

Gamba princess under 13  bado wapo na wanaendelea na mazoezi.
10/08/2026

Gamba princess under 13 bado wapo na wanaendelea na mazoezi.

vipaji ndani ya Gamba Sports center karibu.0741278470
17/07/2026

vipaji ndani ya Gamba Sports center karibu.0741278470

Tupo tunaendelea kuwepo ndani ya Gamba Sports center familia ya vipaji karibuni sana.
17/07/2026

Tupo tunaendelea kuwepo ndani ya Gamba Sports center familia ya vipaji karibuni sana.

Tunahamini kwenye vipaji keep moving.
17/07/2026

Tunahamini kwenye vipaji keep moving.

familia ya vipaji ndani ya Gamba Sports Center we proud of you.
17/07/2026

familia ya vipaji ndani ya Gamba Sports Center we proud of you.

familia ya soka bado mapambano yanaendelea.
17/06/2026

familia ya soka bado mapambano yanaendelea.

siku zinahesabika_mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 12 Hadi 17 ni pale Butiama Gamba Sports rasmi tutashiriki.
15/06/2026

siku zinahesabika_mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 12 Hadi 17 ni pale Butiama Gamba Sports rasmi tutashiriki.

We stay together we win together.we still focus with football.
26/05/2026

We stay together we win together.we still focus with football.

Address

219 Bunda
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gamba Sports Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share