HATA ZA Mchangani

HATA ZA Mchangani Pata habari za Soka dunian kote hapa hapa fuatilia kwa kina

Boss  Sisi tushaprint kabisa huku
24/12/2022

Boss
Sisi tushaprint kabisa huku

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜Liwalo na liweLeo namtangazaHuyu hapa huyu.....
24/12/2022

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Liwalo na liwe
Leo namtangaza
Huyu hapa huyu.....




Karibu sana kwenye chama letu kaka mkubwa Nicholaus Parenho  Tunafrahi sana kuwa na ww na nina uhakika hatujakosea kuwa ...
18/10/2022

Karibu sana kwenye chama letu kaka mkubwa Nicholaus Parenho
Tunafrahi sana kuwa na ww na nina uhakika hatujakosea kuwa na ww

Birthday Boy....Allah azid kuwaweka sana mlonileta dunianiIts my day
05/10/2022

Birthday Boy....
Allah azid kuwaweka sana mlonileta duniani
Its my day

Mwamba huyu hapaaa..... Karibu tena fundi wa boli Allah akuongeze nguvu uanzie pale pale ulipoishia
24/09/2022

Mwamba huyu hapaaa.....

Karibu tena fundi wa boli Allah akuongeze nguvu uanzie pale pale ulipoishia

Sopu k**a Sopu.......Dadeq litakufa jituCc   .amin
04/07/2022

Sopu k**a Sopu.......Dadeq litakufa jitu
Cc .amin

Fundi wa mpira  amin
04/07/2022

Fundi wa mpira
amin

Ubavu mmoja   ubavu wa pili Edinho mamaaaaa litakufa jitu mwaka huu Ahsante sana Boss  unatuheshimisha mda huu pia bro ....
30/06/2022

Ubavu mmoja ubavu wa pili Edinho mamaaaaa litakufa jitu mwaka huu
Ahsante sana Boss unatuheshimisha mda huu pia bro .amin nazikubal sana shoo kaka

Happy Birthday Bro  ishi miaka mingi yenye amani na afya tele sema nini chama letu msimu ujao tuondokane na fedheha kaka
07/05/2022

Happy Birthday Bro ishi miaka mingi yenye amani na afya tele sema nini chama letu msimu ujao tuondokane na fedheha kaka

Jaman eeeh  bado yupo katka mashindano puuzen uvumi unaoendelea soma mkeka huo kutoka CAFWanangu wa Biashara keka bado l...
26/10/2021

Jaman eeeh bado yupo katka mashindano puuzen uvumi unaoendelea soma mkeka huo kutoka CAF
Wanangu wa Biashara keka bado linapumua

03/07/2013

timu pekee ya afrika iliyobaki kombe la dunia kwa vjana u-20 ni Ghana

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HATA ZA Mchangani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category