Simba Jr Sport+255

Simba Jr Sport+255 Ukurasa Maalumu kwa habari za Michezo na kwa zaidi Simba. Whatsapp 0625302091
(1)

Kikosi cha Pyramid kimefika salama Nchi Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ tayari kwaajili ya kushangazwa na Gor Mahia siku ya jumapili πŸ”₯
03/09/2026

Kikosi cha Pyramid kimefika salama Nchi Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ tayari kwaajili ya kushangazwa na Gor Mahia siku ya jumapili πŸ”₯

🚨 LIGI KUU MISRI πŸ‡ͺπŸ‡¬Al Ahly wameshinda kwa mbinde leo, bao safi la Yasser Ibrahim πŸ”₯
03/09/2026

🚨 LIGI KUU MISRI πŸ‡ͺπŸ‡¬

Al Ahly wameshinda kwa mbinde leo, bao safi la Yasser Ibrahim πŸ”₯

πŸš¨πŸ‡ΉπŸ‡Ώ MNYAMA KUELEKEA MALAWI KESHO Kikosi cha Simba SC kitaondoka kesho saa 1:00 asubuhi, kikiwa na jumla ya wachezaji 22 ...
03/09/2026

πŸš¨πŸ‡ΉπŸ‡Ώ MNYAMA KUELEKEA MALAWI KESHO

Kikosi cha Simba SC kitaondoka kesho saa 1:00 asubuhi, kikiwa na jumla ya wachezaji 22 kuelekea Malawi. βœˆοΈπŸ‡²πŸ‡Ό

❌ Wachezaji ambao hawatasafiri:

Kapombe

Kibabage

Nangu

Yakoub

Hamza β€” wote kutokana na majeraha au kutokuwa fiti kimwili.

Nindi

Semfuko

Nashon β€” hawatakuwa sehemu ya kikosi kwa sababu za kiufundi.

Wachezaji wengine wote waliobaki watasafiri kuelekea Malawi. πŸ‡²πŸ‡Ό

πŸ”₯ Kila la heri Mnyama Simba πŸ”₯🦁

🚨πŸ”₯ WISSA AWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI EPL! πŸ‡¨πŸ‡©Mshambuliaji wa DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© Yoane Wissa ametajwa kwenye orodha ya ...
03/09/2026

🚨πŸ”₯ WISSA AWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI EPL! πŸ‡¨πŸ‡©

Mshambuliaji wa DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© Yoane Wissa ametajwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti katika Premier League. πŸ†πŸ”₯

Wissa anachuana na nyota k**a Bruno Fernandes, Cole Palmer, JoΓ£o Pedro, Rayan Cherki, Ricardo Calafiori, Mamadou SangarΓ© na Konstantinos Tzolakis.

πŸ‘‰ Je, Wissa anastahili kushinda tuzo hii? πŸ‘€πŸ”₯

Sio kwa Ubaya ila Gongowazi ni wakati muongee na Jayrutt vizuri Hizi jezi hazihitaji kulipia mamilioni kukodi wazungu wa...
03/09/2026

Sio kwa Ubaya ila Gongowazi ni wakati muongee na Jayrutt vizuri

Hizi jezi hazihitaji kulipia mamilioni kukodi wazungu watangaze ili zinunulike

Jezi inajieleza na imenyooka vilivyo, igeni na hii.πŸ”₯

πŸš¨πŸ”΄βšͺ️ RASMI: MARTINELLI AWEKA REKODI MPYA ARSENAL!Gabriel Martinelli πŸ‡§πŸ‡· amejiunga na Al-Hilal πŸ‡ΈπŸ‡¦ kwa ada ya pauni milioni...
03/09/2026

πŸš¨πŸ”΄βšͺ️ RASMI: MARTINELLI AWEKA REKODI MPYA ARSENAL!

Gabriel Martinelli πŸ‡§πŸ‡· amejiunga na Al-Hilal πŸ‡ΈπŸ‡¦ kwa ada ya pauni milioni 60 (Β£60M), ambayo ni sawa na takribani TSh bilioni 214. πŸ’°πŸ”₯

Huo ndio uhamisho wenye thamani kubwa zaidi katika historia ya Arsenal, ukivunja rekodi ya Alex Oxlade-Chamberlain aliyeuzwa Liverpool kwa Β£35M mwaka 2017.

🚨 LIGI KUU MISRI πŸ‡ͺπŸ‡¬Half Time Al Ahly 0-0 SmouhaNgoma ngumu...
03/09/2026

🚨 LIGI KUU MISRI πŸ‡ͺπŸ‡¬

Half Time

Al Ahly 0-0 Smouha
Ngoma ngumu...

πŸš¨πŸ‡¨πŸ‡© RASMI: CΓ‰DRIC BAKAMBU Ajiunga NA SAN DIEGO FC! πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ”₯Mshambuliaji wa DR Congo, CΓ©dric Bakambu, amejiunga rasmi na San D...
03/09/2026

πŸš¨πŸ‡¨πŸ‡© RASMI: CΓ‰DRIC BAKAMBU Ajiunga NA SAN DIEGO FC! πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ”₯

Mshambuliaji wa DR Congo, CΓ©dric Bakambu, amejiunga rasmi na San Diego FC ya Marekani kwa mkataba wa hadi mwisho wa msimu.

Bakambu sasa atacheza MLS, ligi kuu ya soka nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ, ambako atakutana na mastaa wakubwa akiwemo Lionel Messi. 🌟⚽

πŸ‡·πŸ‡Ό KIYOVU SPORTS YAZINDUA JEZI MPYA!Kiyovu Sports imezindua rasmi jezi za nyumbani (Home) na ugenini (Away) kwa msimu wa...
03/09/2026

πŸ‡·πŸ‡Ό KIYOVU SPORTS YAZINDUA JEZI MPYA!

Kiyovu Sports imezindua rasmi jezi za nyumbani (Home) na ugenini (Away) kwa msimu wa 2026/27. ⚽πŸ”₯

πŸ‘• HOME KIT
πŸ‘• AWAY KIT

Ni timu ya pili kutoka Rwanda ikitengenezewa jezi na kampuni ya Jayrutt πŸ”₯

Hapo vipi?

🚨πŸ‡ͺπŸ‡Έ RASMI: MARCOS LLORENTE ASTAAFU TIMU YA TAIFA! πŸ‘‹Marcos Llorente ametangaza kustaafu kuichezea Hispania πŸ‡ͺπŸ‡Έ akiwa na mi...
03/09/2026

🚨πŸ‡ͺπŸ‡Έ RASMI: MARCOS LLORENTE ASTAAFU TIMU YA TAIFA! πŸ‘‹

Marcos Llorente ametangaza kustaafu kuichezea Hispania πŸ‡ͺπŸ‡Έ akiwa na miaka 31.

Amesema uamuzi huo ameufikiria kwa muda mrefu na ni uamuzi wa binafsi, licha ya kuwa bado ana nafasi ya kuiwakilisha nchi hiyo kwa miaka kadhaa zaidi.

πŸ—£οΈ β€œImekuwa heshima kubwa kuiwakilisha nchi yangu na kuwa sehemu ya historia hii. Asanteni kwa kila kitu.”

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Jr Sport+255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share