DAUD YANGA

DAUD YANGA https:// Daudmtemi9gmail.com

Furaha ya ubingwa ukiwa na mwenza,,
30/05/2026

Furaha ya ubingwa ukiwa na mwenza,,

Mabingwa
30/05/2026

Mabingwa

Mabingwa.
30/05/2026

Mabingwa.

๐—ช๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐—š๐—”๐—๐—œ - ๐—ก๐—•๐—– ๐—ฃ๐—Ÿ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ-๐Ÿฎ๐Ÿฒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1โƒฃ4โƒฃ - Feisal Salum - Azam FC๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 1โƒฃ1โƒฃ - Allan Okello - Young Africans๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 0โƒฃ9โƒฃ - Prince Dub...
26/05/2026

๐—ช๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐—š๐—”๐—๐—œ - ๐—ก๐—•๐—– ๐—ฃ๐—Ÿ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ-๐Ÿฎ๐Ÿฒ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1โƒฃ4โƒฃ - Feisal Salum - Azam FC
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 1โƒฃ1โƒฃ - Allan Okello - Young Africans
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 0โƒฃ9โƒฃ - Prince Dube - Young Africans
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ 0โƒฃ9โƒฃ - Ndumumwe Mossi -Singida Black Stars
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0โƒฃ8โƒฃ - Paul Peter - JKT Tanzania
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0โƒฃ8โƒฃ - Mudathir Yahya - Young Africans
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ 0โƒฃ8โƒฃ - Clatoua Chama - Simba SC
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 0โƒฃ8โƒฃ - Fabrice Ngoy - Namungo FC
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0โƒฃ8โƒฃ - Selemani Mwalimu -Simba SC
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0โƒฃ8โƒฃ - Salehe Karabaka -JKT Tanzania
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0โƒฃ8โƒฃ - Seleman Nado -Azam FC

Kikosi kazi dhidi ya Namungo FC๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
25/05/2026

Kikosi kazi dhidi ya Namungo FC๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ


๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ๐Ÿ†   ๐Ÿ†š Namungo FC๐Ÿ—“๏ธ 25 May 2026๐ŸŸ๏ธ KMC Complexโฑ๏ธ 12:30 Jioni
25/05/2026

๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ†
๐Ÿ†š Namungo FC
๐Ÿ—“๏ธ 25 May 2026
๐ŸŸ๏ธ KMC Complex
โฑ๏ธ 12:30 Jioni


๐…๐“โ€™|   Young Africans SC 3๐Ÿ†š0 Singida BS
22/05/2026

๐…๐“โ€™|

Young Africans SC 3๐Ÿ†š0 Singida BS


๐”๐ ๐๐„๐—๐“๐Ÿ† ๐Ÿ†š Singida BS Wananchi tukutane kesho KMC
22/05/2026

๐”๐ ๐๐„๐—๐“

๐Ÿ† ๐Ÿ†š Singida BS Wananchi tukutane kesho KMC

YANGA SC : ''...mradi wetu utamilikiwa 50% na Yanga na 50% na GSM...'', Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, akielezea umi...
15/05/2026

YANGA SC : ''...mradi wetu utamilikiwa 50% na Yanga na 50% na GSM...'', Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, akielezea umiliki wa mradi wa Uwanja wa klabu hiyo.

Amesema hayo katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ambapo ameeleza kuwa mradi huo unatarajiwa kuchukua muda wa miezi 18 hadi 24 hadi kukamilika kwake.

Utabeba mashabiki 20,000 wakiwa wameketi kwenye viti vyao , utakuwa na miundombinu ya kisasa sana Ujenzi wake unatarajia...
15/05/2026

Utabeba mashabiki 20,000 wakiwa wameketi kwenye viti vyao , utakuwa na miundombinu ya kisasa sana

Ujenzi wake unatarajia kukamilika mwaka 2028 baada ya AFCON 2027

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAUD YANGA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DAUD YANGA:

Share

Category