Sports Room

Sports Room currents and olds news,nje na ndani ya Tanzania kila aina ya michezo We are here for football

24/10/2023

This page will be updated soon

Tafakuri 🤔Leo nimekuwa na nikitafakari siasa za mpira wetu nikiangalia engo ya waamuzi  je! Ni kweli wameshinda kuchambu...
28/11/2022

Tafakuri

🤔Leo nimekuwa na nikitafakari siasa za mpira wetu nikiangalia engo ya waamuzi je! Ni kweli wameshinda kuchambua vyema sheria 17 za mpira maana wanapoteana sana katika kila mechi
👉wamelogwa
👉ni lana
👉hawajui wanachofanya
👉hawana elimu ya kutosha
👉hawajalipwa mishahara
👉wanaamua tu au shida ni nini

🤜Nilichogundua ni kwamba walio tutawala ndio waliochangia kwa kiasi vikubwa tufikie hapa maana pamoja na kuwekewa VAR laki wamekuwa wakiendelea kufanya makosa kweli mtoto wa nyoka ni nyoka

02/10/2022
Man city 3-0 man utd (Foden,Jini 2)Dakika ya 42
02/10/2022

Man city 3-0 man utd
(Foden,Jini 2)
Dakika ya 42

👉hiki hapa kikosi cha simba dimbani Leo 🤜kapombe out mwenda inn🤜mkude out Putin inn🤜sakho out akrah innKocha kaamua kufa...
18/09/2022

👉hiki hapa kikosi cha simba dimbani Leo

🤜kapombe out mwenda inn
🤜mkude out Putin inn
🤜sakho out akrah inn

Kocha kaamua kufanya mabadiliko kadhaa,walioanza kwenye mechi iliyopita ya prison

Uchambuzi mdogo tu

🥰kocha anaitaji mpira kiasi wa kasi na hataki anao anao mwingi,mkude anakaa na mpira na sakho pia ndo maana kaamua kuwapumzisha

🤜kimuonekano kikosi kinaeleweka ngoja ndani ya dakika 90 matokeo yake

WARAKA WA UKOMBOZI👉huwa najaribu sana kutafakari waandishi wetu wa habari zote za michezo hasa kwenye magazeti,wachambuz...
18/09/2022

WARAKA WA UKOMBOZI

👉huwa najaribu sana kutafakari waandishi wetu wa habari zote za michezo hasa kwenye magazeti,wachambuzi wetu huwa kuna % fulani wanapata katika sajili zinazokuwa zikiendelea kwenye vilabu hivi vikubwa mwili

👉Mchezaji wa kimataifa anasajiliwa na hivi vilabu viwili nchi,badala ya wachambuzi wetu kumchambua kwa kutumia current form wanamchambua kwa misimu miwili iliyopita na sifa kedekede...

👉50% ya soka letu linaaribiwa na wachambuzi na waandishi wetu wa habari za michezo mf:-mchezaji kasajiliwa k**a ni mbovu sema ni mbovu acha kuwa na unafiki nyie ndio mnaochochea ubovu wa ligi yetu

👉Mimi huwa sisomi magazeti ya michezo kwakuwa 90% za habari zao ni uongo mtupu

🤜Muda wa kuamka simba hajakamilisha uwekezaji wake wewe mchambuzi hayakuusu,yanga bila GSM sio timu hayakuusu,zungumzia dakika 90 za ndani ya uwanja huko nje waachie waandishi wa habari za mishezo ifike pahala mtambue mipaka yenu

🐶WARAKA 1 WA BECKA 👉Tumefikia hatua sasa wachambuzi wetu badala ya kuchambua mpira wanafanya kazi ya kupigana vijembe mi...
18/09/2022

🐶WARAKA 1 WA BECKA

👉Tumefikia hatua sasa wachambuzi wetu badala ya kuchambua mpira wanafanya kazi ya kupigana vijembe mitandaoni

👉wengi wa wachambuzi wetu hawajui nini kinaitajika kwa wasikilizaji wao na bahati mbaya wengi wao wamepata nafasi kwakuwa wanajuana na hawa waendesha vipindi

👉 ambaye kiasi uchambuzi wake unaeleweka kakimbia ligi yetu yeye anadeal na ligi za ulaya huku kamuacha na baadhi ya wachache

👉wachambuzi wa kibongo wengi wao wanapenda mpira ila kuuzungumzia ndani ya dakika 90 imekuwa ngumu wameamia nje ya uwanja

👉kuna baadhi ya wanaojiita wachambuzi wamekalia majungu na chuki kwa wenzao,nimewafollow wengi lakini sijaona ule Ubora ninao taman kuuona

👌Uchambuzi ni kipaji au karama ambayo mtu kabarikiwa unaweza kuusomea mpira lakini ukashindwa kuuwelezea...

🤜wachambuzi wengi wa kibongo ni waandishi za habari za michezo

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 00:00
Tuesday 09:00 - 23:00
Wednesday 09:00 - 23:00
Thursday 09:00 - 23:00
Friday 09:00 - 23:58
Saturday 09:00 - 23:00
Sunday 09:00 - 23:00

Telephone

+255673561257

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Room posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Room:

Share

Category