Tusikubali kudanganywa

Tusikubali kudanganywa push me up guys πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

20/05/2026

With Simba Chips – I just got recognized as one of their top fans! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

SELE GOMEZ.    Me sikudai umekuwa na bahati sana kila unapo ingia lazima ufunge tena hutumii mda mrefu uwanjani hakika w...
17/05/2026

SELE GOMEZ. Me sikudai umekuwa na bahati sana kila unapo ingia lazima ufunge tena hutumii mda mrefu uwanjani hakika wew ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Simba SC Tanzania Simba Chips SIMBA SC Breaking news

KATI YA HAWA BASI MMOJA WAO ABEBE TIMU YAKE LEO KWA ASIST AU KUFUNGA KABISA SIMBA ATADAI  RIST AU TRA LEO NDO ATAKATAA N...
17/05/2026

KATI YA HAWA BASI MMOJA WAO ABEBE TIMU YAKE LEO KWA ASIST AU KUFUNGA KABISA

SIMBA ATADAI RIST AU TRA LEO NDO ATAKATAA NA RIST🀣🀣 MBONA KAZI IPO

MAMLAKA YA SERIKALI AU TAASISI YA WANACHAMA🀣🀣

Muda wa kazi unakaribia tujue nani wa kumkanda COSTAL UNION πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
17/05/2026

Muda wa kazi unakaribia tujue nani wa kumkanda COSTAL UNION
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Klabu ya Africain imeshinda kombe lao la ligi nchini Tunisia leo. πŸ†πŸ‡ΉπŸ‡³ Wakati maalum kwa mashabiki wanaposherehekea utuku...
17/05/2026

Klabu ya Africain imeshinda kombe lao la ligi nchini Tunisia leo. πŸ†πŸ‡ΉπŸ‡³

Wakati maalum kwa mashabiki wanaposherehekea utukufu wa ndani na kurudi kwenye hatua ya Ligi ya Mabingwa ya CAF. ✨

Hongera kwa mabingwa wapya.

16/05/2026

Azamtv mmejua
Kutuheshimisha tangu
Nimenunua king'amuzi leo
Next big brand of AFRICA

Ingekuwa mimi ndo kiongozi pale yanga yani DIARA ningempeka hata timu ya u-17 akawachangamshe juzi kakimbia mchezo leo n...
16/05/2026

Ingekuwa mimi ndo kiongozi pale yanga yani DIARA ningempeka hata timu ya u-17 akawachangamshe juzi kakimbia mchezo leo ndo kapewa nafasi 🀣🀣

Yanga mnamuogopa DIARA sana anaona mazamwamwa kwa kweli🀣🀣

I've just reached 300 followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each and every one...
16/05/2026

I've just reached 300 followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each and every one of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Address

Nyerere Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tusikubali kudanganywa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tusikubali kudanganywa:

Share