Imus brand agribusiness

Imus brand agribusiness Service in education, training, advertising etc

Go amaranth
08/05/2026

Go amaranth

Mchaichai ni mmea wa aina ya nyasi wenye harufu nzuri na ladha ya kipekee*Faida*- Inasaidia kupunguza stress na wasiwasi...
23/03/2026

Mchaichai ni mmea wa aina ya nyasi wenye harufu nzuri na ladha ya kipekee

*Faida*
- Inasaidia kupunguza stress na wasiwasi
- Inatibu magonjwa ya tumbo na kichefuchefu
- Inasaidia kupunguza maumivu ya mwili
- Inafaa k**a dawa ya asili ya kupambana na wadudu

*Disadvantages:*
- Inaweza kusababisha allergy kwa baadhi ya watu
- Haifai kwa wanawake wajawazito au wanaonyonyesha bila kushauriana na daktari
- Inaweza kuathiri sukari ya damu, hivyo watu wenye sukari wanapaswa kuwa makazi

Lemongrass is a type of grass with a citrusy flavor and aroma

*Advantages:*
- Relieves stress and anxiety
- Treats digestive issues and nausea
- Has pain-relieving properties
- Natural insect repellent

*Disadvantages:*
- Can cause allergic reactions in some people
- Not recommended for pregnant or breastfeeding women without consulting a doctor
- May lower blood sugar levels, so diabetics should be cautious

23/03/2026

kutodhania/unexpected

Majani ya mtembele (kwa Kiingwele: Moringa) ni k**a superfood hivi! Yanapakana na virutubisho vingi k**a vitamini, madin...
12/03/2026

Majani ya mtembele (kwa Kiingwele: Moringa) ni k**a superfood hivi! Yanapakana na virutubisho vingi k**a vitamini, madini, na antioxidants. Watu wengi wanayatumia k**a:
- Donge la afya
- Kuongeza maziwa kwa wazazi
- Kupunguza sukari na kolestrol
- Kupata nguvu

Unayatumia au unapenda kujaribu?
Majani ya mtembele yana matumizi mengi:
1. *Chai ya mtembele* - Kunywa k**a chai ya kawaida
2. *Donge la afya* - Tafuna majani fresh
3. *Supu na mboga* - Ongeza kwenye supu au mboga
4. *Poda ya mtembele* - Tengeza kwenye smoothies au chakula
5. *Maji ya mtembele* - Loweka majani kwenye maji ya kunywa

10/01/2026
10/01/2026

Kwa VIFAA vyote vya UMWAGILIAJI BEI RAHISI sana tuone tupo ITV mwenge kwa mawasiliano , mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa kabisa 0712088520

Kwa VIFAA Bora vya UMWAGILIAJI BEI RAHISI sana tuone tupo ITV mwenge na miakoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa kabisa kar...
10/01/2026

Kwa VIFAA Bora vya UMWAGILIAJI BEI RAHISI sana tuone tupo ITV mwenge na miakoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa kabisa karibu 0712088520

Je unahitaji na umepitwa na muda!! Sasa inapatikana kwa wingi!
04/07/2023

Je unahitaji na umepitwa na muda!! Sasa inapatikana kwa wingi!

KWA MAHITAJI YA NYANYA CHERY TOMATOES ,,WEKA ORDER YAKO MCHE MMOJA 300/ tuu😊 kwa matumizi ya nyumbani na hata biashara k...
28/10/2022

KWA MAHITAJI YA NYANYA CHERY TOMATOES ,,WEKA ORDER YAKO MCHE MMOJA 300/ tuu😊 kwa matumizi ya nyumbani na hata biashara karibuni 0712088520

LETS GO onion
28/05/2022

LETS GO onion

Address

Vikindu
Dar Es Salaam

Telephone

+255712088520

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imus brand agribusiness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share