Wajanja modern accessory

Wajanja modern accessory Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wajanja modern accessory, Dar es Salaam.

JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI Usiwe na wasiwasi tena! Tunayo suluhisho la haraka na rahisi kupitia spray hii,yen...
28/05/2024

JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI

Usiwe na wasiwasi tena! Tunayo suluhisho la haraka na rahisi kupitia spray hii,yenye ladha aina 3.
1.mint 2.strawberry 3.lemon

📌Inaondoa harufu mbaya mdomoni mara moja

📌Ina formula yenye nguvu ambayo inaua bakteria na kusafisha eneo la mdomo

📌haina kemikali kali na ni salama kwa matumizi ya kila siku.

📌Unatembea nayo popote pale
🔴Boresha kinywa chako jikinge na bakteria.

Bei ni Tsh 10000

tupo Dar tegeta A,Goba.
Bonyeza 👇kwa mawasiliano zaidi
https://wa.me/message/LQPZEXMSKPFCI1

Ukiitaji kuletewa utalipia gharama ya kuletewa.

28/05/2024

Hello guys

Samsung Galaxy s9 plus, clean condition.Tsh 480,000GB 6/64Fingerprint ✔ (Haina tatizo lolote,imetumika kidogo tuu)Free c...
11/09/2022

Samsung Galaxy s9 plus, clean condition.

Tsh 480,000

GB 6/64
Fingerprint ✔

(Haina tatizo lolote,imetumika kidogo tuu)
Free cover.
Nipo dar es salaam.

Call/watsup/text 0738645986

https://wa.me/message/WRE256JOLIPPF1

Kabati hilo linauzwa njoo na ofa yakoTsh 250000 Nipo tegeta nyuki dar ...piga  0738645986.
07/04/2020

Kabati hilo linauzwa njoo na ofa yako
Tsh 250000

Nipo tegeta nyuki dar ...piga 0738645986.

CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO Bei ni TSH 20000 yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika...
05/08/2019

CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO

Bei ni TSH 20000

yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona k**a cherehani ya kawaida.
🔺Haitumii betri
🔺Rahis kubeba
🔺Unashona _cotton, polyester, silk pia hata nylon._

Kwa dar kuletewa ulipo ni tsh 2000,
Mkoani pia unatumiwa kwa gharama ya mteja .

Call/SMS .... No ..0717556768

Mkanda wa kujifunzia kutembea Tsh 300000717556768... contact us ...
20/02/2019

Mkanda wa kujifunzia kutembea
Tsh 30000
0717556768... contact us ...

AvailableBoys and girlsBei Tsh 45000Umri 19 - 24 month 0717556768......
20/02/2019

Available
Boys and girls
Bei Tsh 45000
Umri 19 - 24 month
0717556768......

Available Umri 12 -18 month..Bei Tsh 370000717556768......
20/02/2019

Available
Umri 12 -18 month..
Bei Tsh 37000
0717556768......

Nguo za k**eTsh 37000Nguo za kiume Tsh 45000Mkanda wa kujifunzia kutembeaTsh 30000Tupo mbezi jogoo dar, wasiliana nasi k...
20/02/2019

Nguo za k**e
Tsh 37000

Nguo za kiume
Tsh 45000

Mkanda wa kujifunzia kutembea
Tsh 30000

Tupo mbezi jogoo dar, wasiliana nasi kupitia no 0717556768....unaletewa ulipo kwa dar sh 2000, mikoani tunatuma kwa basi... @ Dar es Salaam, Tanzania

MKANDA WA MTOTO KUJIFUNZIA KUTEMBEA ✔️Unamsaidia mtoto kujifunza kupiga hatua wakati anatembea..✔️Ni imara na salama kwa...
11/02/2019

MKANDA WA MTOTO KUJIFUNZIA KUTEMBEA

✔️Unamsaidia mtoto kujifunza kupiga hatua wakati anatembea..

✔️Ni imara na salama kwa mtoto,unamuwezesha kutembea haraka...

✔️Unaepusha kumuumiza mikono ya mtoto anayeanza kusimama pindi umnyanyuapo juu
A
✔️Unaweza tumia kumpimia mtoto uzito...

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp/call no 0717556768/0738645986....tupo mbezi jogoo dar.....

KIFAA CHA KUJIFUNZIA KUTEMBEA ✔️Kinamsaidia mtoto kujifunza kupiga hatua wakati anatembea..✔️Ni imara na salama kwa mtot...
05/02/2019

KIFAA CHA KUJIFUNZIA KUTEMBEA

✔️Kinamsaidia mtoto kujifunza kupiga hatua wakati anatembea..

✔️Ni imara na salama kwa mtoto,inamuwezesha kutembea haraka...

✔️kinaepusha kumuumiza mikono ya mtoto anayeanza kusimama pindi umnyanyuapo juu

✔️Unaweza tumia kumpimia mtoto uzito...

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp/call no 0717556768/0738645986....tupo mbezi jogoo dar.....

Mkanda wa mtoto kujifunzia kutembea...Inapatikana kwa  Bei nafuu, wasiliana nasi kupitia no 0717556768....mbezi jogoo da...
01/02/2019

Mkanda wa mtoto kujifunzia kutembea...

Inapatikana kwa Bei nafuu,
wasiliana nasi kupitia no 0717556768....mbezi jogoo dar ...

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wajanja modern accessory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share