Simba Family

Simba Family Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simba Family, Sports Team, Dar es Salaam.

πŸ•΅οΈβ€β™‚οΈ
16/06/2025

πŸ•΅οΈβ€β™‚οΈ

πŒπŠπˆπ‰π€ π’πˆπŒππ€ ππˆππ†π–π€, πŒπ’πˆππŽπŠπ”π‰π€ π’πˆπŒππ€ ππˆππ†π–π€πŸ†Kanuni namba 31 Ligi Kuu Bara inasema :"Timu yoyote itakayokosa Kufika Uwanja...
06/06/2025

πŒπŠπˆπ‰π€ π’πˆπŒππ€ ππˆππ†π–π€, πŒπ’πˆππŽπŠπ”π‰π€ π’πˆπŒππ€ ππˆππ†π–π€πŸ†

Kanuni namba 31 Ligi Kuu Bara inasema :

"Timu yoyote itakayokosa Kufika Uwanjani bila sababu za msingi zinazokubalika na TFF /TPLB ama kusababisha mchezo usifanyike itakabiliwa na adhabu zifuatazo :

1.1 Kutozwa Faini ya Tsh. Milioni 5 ambapo Nusu itaenda TPLB na Nusu itaenda kwa Wapinzani

1.2 Kulipa fidia ya maandalizi au uharibifu wowote unaoweza kujitokeza

1.3 KUPOKWA ALAMA 15 na Viongozi waliosababisha hilo kufungiwa kwa miezi isiyopungua 12

Tunakumbushana tu

TETESI : SIMBA IJAYO NI BALAA ZITO Chini ya  kapeti Simba wanaiwinda kwa Nguvu zote Saini ya Mchezaji hatari wa Al hilal...
30/05/2025

TETESI : SIMBA IJAYO NI BALAA ZITO
Chini ya kapeti Simba wanaiwinda kwa Nguvu zote Saini ya Mchezaji hatari wa Al hilal Omdurman na timu ya Taifa ya Sudan Mohammed Abdelrhman kwenye drisha kubwa la Usajili mwishoni mwa msimu huu.... Simba wameamua kweli Kweli hawataki utani hata kidogo.

SIKU YA UBAYA UBWELA.
25/05/2025

SIKU YA UBAYA UBWELA.

πŸ‘‰πŸ”Ÿ.
25/05/2025

πŸ‘‰πŸ”Ÿ.

Tupo kamili gado.
25/05/2025

Tupo kamili gado.

Historia kubwa kwa klabu na nchi itaandikwa leo kwa usimamizi wa Kocha Fadlu.
25/05/2025

Historia kubwa kwa klabu na nchi itaandikwa leo kwa usimamizi wa Kocha Fadlu.

🧀 Manula.🧀 Abel.🧀 Camara.🧀 Salim.
25/05/2025

🧀 Manula.
🧀 Abel.
🧀 Camara.
🧀 Salim.


Hakuna mchambuzi aliipa Simba nafasi kuwatoa AL AHLI TRIPOLI iliyokua na wachezaji wakubwaWengi walisema Simba inaishia ...
25/05/2025

Hakuna mchambuzi aliipa Simba nafasi kuwatoa AL AHLI TRIPOLI iliyokua na wachezaji wakubwa

Wengi walisema Simba inaishia pale, Kilichofuata Walibya waliitwa Wabovu

Hakuna mtu aliamini k**a Simba ingeongoza Kundi, Kila mtu alimpa nafasi Constatine

Hakuna mtu aliamini k**a ile TUNAVUKA kwa Al Masry ingefanikiwa haswa baada ya kutanguliwa 2-0 ugenini

Hakuna mtu aliamini Simba angecheza FAINALI ya CAFCC msimu huu, Hata Wanasimba wenyewe hawakufikiria, ni wakati wa Mungu TU

Baada ya Simba kufungwa bao 2-0 ndani ya Dk 15 tu pale kwa RS Berkane, Hakuna mtu aliamini k**a game itaisha 2-0 .... Wengi waliamini zikiwa chache basi ni 4G

Ila Mungu sio Ali Kamwe, Ngoma imeisha vile vile 2-0

Nataka kusema hivi, Kila ambacho hamkuamini kilikua, Na hata hili la sasa ambalo hamuamini nalo litakua

Huu ni wakati wa Mungu, Ni wakati ambao ni sahihi, Berkane wamekuja Tanzania wakati mbaya πŸ†

Wageni wanakaribishwa kwenye ardhi iliyobarikiwa ya Tanzania. Hali ni shwari kuelekea kubeba ubingwa wa Kombe la Shiriki...
24/05/2025

Wageni wanakaribishwa kwenye ardhi iliyobarikiwa ya Tanzania. Hali ni shwari kuelekea kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Heri ya siku ya kuzaliwa Che Malone Fondoh.
24/05/2025

Heri ya siku ya kuzaliwa Che Malone Fondoh.

Ω‡Ψ°Ψ§ Ω‡Ωˆ ΩˆΩ‚ΨͺΩ†Ψ§ ΩˆΩ†Ψ­Ω† Ω†ΨΉΩ†ΩŠ Ψ°Ω„Ωƒ.
18/05/2025

Ω‡Ψ°Ψ§ Ω‡Ωˆ ΩˆΩ‚ΨͺΩ†Ψ§ ΩˆΩ†Ψ­Ω† Ω†ΨΉΩ†ΩŠ Ψ°Ω„Ωƒ.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Family posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category