Africaplay

Africaplay Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Africaplay, Sports League, Box 9191, Dar es Salaam.

02/05/2026

Yanga, mnataka hamtaki kitapigwašŸ˜€

ā€œMfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, waendesha pikipiki (bodaboda) na wajasiriamali wadogo walieleza kuwa w...
23/04/2026

ā€œMfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, waendesha pikipiki (bodaboda) na wajasiriamali wadogo walieleza kuwa walipewa fedha kati ya sh. 10,000 hadi sh. 50,000 na waliahidiwa ajira na maisha bora. Ilielezwa zaidi kuwa kuanzia tarehe 12 Oktoba, 2025 hadi 28 Oktoba, 2025 waliwekwa pamoja, kupewa mafunzo, kuandaliwa na kuhamasishwa kuwa sehemu ya kuanzisha na kushiriki ghasia siku ya Uchaguzi.ā€

auli mbiu za No reforms no election, tumedhamilia uchaguzi hautafanyika, Samia must go, tunataka kuikombo nchi yetu na h...
23/04/2026

auli mbiu za No reforms no election, tumedhamilia uchaguzi hautafanyika, Samia must go, tunataka kuikombo nchi yetu na hakuna uchaguzi katika serikali hii ni miongoni mwa kauli zilizochoche ghasia.

Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025 iliyowasilisha matokea ya uchunguzi mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Chande amesema kauli nyingine ni ā€˜tuhahakikisha nchi haisimami hadi Serikali iondoke’, ā€˜hakutakuwa na uchaguzi bila mabadiliko ya mfumo’ na Serikali hii imepoteza uhalali wa kuongoza nchi.

Huku kimataifa, Wananchi hali bado nitete, itakuwajee?
21/04/2026

Huku kimataifa, Wananchi hali bado nitete, itakuwajee?

Kaeni kwa kutulia, Chuma kinarudi Msimu ujao.
20/04/2026

Kaeni kwa kutulia, Chuma kinarudi Msimu ujao.

Andaeni timu zenu Mapema, hatutaki kusikia Yanga anaharibu ligi🤣🤣
20/04/2026

Andaeni timu zenu Mapema, hatutaki kusikia Yanga anaharibu ligi🤣🤣

Wananchi hili suala la Mudathir mmekaa kimya, Mbona Diarra tulimchangia?
20/04/2026

Wananchi hili suala la Mudathir mmekaa kimya, Mbona Diarra tulimchangia?

Address

Box 9191
Dar Es Salaam
14112

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africaplay posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share