Godfrey Mgaya sports

Godfrey Mgaya sports Karibu NaAsante Kwa Kulike Page Yetu

Kalenda ya Matukio na Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
02/08/2025

Kalenda ya Matukio na Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Viingilio vya mchezo wa ufunguzi wa CHAN Tanzania vs Burkina Faso, Agosti 2 Benjamin Mkapa
26/07/2025

Viingilio vya mchezo wa ufunguzi wa CHAN Tanzania vs Burkina Faso, Agosti 2 Benjamin Mkapa

Mudathir Yahya Abass ameongeza mkataba wake ndani ya Mabingwa wa Nchi Young Africans Sports Club mpaka 2027.No doubt  Si...
22/07/2025

Mudathir Yahya Abass ameongeza mkataba wake ndani ya Mabingwa wa Nchi Young Africans Sports Club mpaka 2027.

No doubt Simu ziendelee kuita💪💪

ZIMBABWE AWAPIGA THANK YOU SIMBA
19/07/2025

ZIMBABWE AWAPIGA THANK YOU SIMBA

CHELSEA MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA DUNIA KWA VILABUFainali: ⏰ 'FT🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea 3️⃣-0️⃣ PSG 🇫🇷⚽ Joao Pedro⚽⚽ Palmer tue...
13/07/2025

CHELSEA MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA DUNIA KWA VILABU

Fainali: ⏰ 'FT

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea 3️⃣-0️⃣ PSG 🇫🇷

⚽ Joao Pedro
⚽⚽ Palmer

tueleleze umeuonaje mchezo huo wa Fainali?

🥅 *GOOOOLL!!* 🥅🇽🇪 Chelsea [3] x 0 PSG 🇫🇷 ⚽ Cole Palmer🎯 Joe Pedro 🏆 Supe Final ⚽*
13/07/2025

🥅 *GOOOOLL!!* 🥅
🇽🇪 Chelsea [3] x 0 PSG 🇫🇷

⚽ Cole Palmer
🎯 Joe Pedro

🏆 Supe Final

⚽*

13/07/2025

Kombe la Dunia la Vilabu:

Fainali: ⏰ '25

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea 1️⃣-0️⃣ PSG 🇫🇷

⚽ Palmer

🚨 *TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA*Chelsea wana nia ya kumsajili mlinda lango wa Paris St-Germain na Italia Gianluigi Don...
13/07/2025

🚨 *TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA*

Chelsea wana nia ya kumsajili mlinda lango wa Paris St-Germain na Italia Gianluigi Donnarumma, 27. (L'Equipe)

Newcastle wamefufua nia ya kumnunua mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Mfaransa Hugo Ekitike, 23, na wanatumai kuwashinda Liverpool kwenye usajili wake. (Telegraph)

West Ham wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa zamani wa Aston Villa Douglas Luiz kutoka Juventus, huku Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 27 akiwa ametatizika kufanya vyema kwenye Serie A. (Gazzetta dello Sport)

Cc; BBC NEWS SWAHILI

WAFCON 2025 ➡️⚽Mchezo Ni Mapumziko 🇹🇿1⃣🇿🇦0⃣⚽ Opah Clement  *Kwa Emoji Moja Hapa Umekionaje Kipindi Cha Kwanza?*⤵️
11/07/2025

WAFCON 2025

➡️⚽Mchezo Ni Mapumziko

🇹🇿1⃣
🇿🇦0⃣

⚽ Opah Clement

*Kwa Emoji Moja Hapa Umekionaje Kipindi Cha Kwanza?*⤵️

Winga wa klabu ya Simba SC 🇹🇿, Edwin Balua, amejiunga rasmi na klabu ya Enosis Neon Paralimni ya nchini Cyprus 🇨🇾 kwa mk...
11/07/2025

Winga wa klabu ya Simba SC 🇹🇿, Edwin Balua, amejiunga rasmi na klabu ya Enosis Neon Paralimni ya nchini Cyprus 🇨🇾 kwa mkopo wa msimu mmoja.

Uhamisho huo tayari umekamilika rasmi (Done & Sealed 🔒) huku ukiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa mchezaji huyo nafasi zaidi ya kucheza na kukuza kipaji chake kwenye ligi ya Ulaya.

FT: TEAM JOB 1-1 TEAM KIBWANA52’—⚽️ Dickson Job (Penalti)39’—⚽️ Nassor SaadunKikosi kilichokuwa kimeundwa na Dickson Job...
06/07/2025

FT: TEAM JOB 1-1 TEAM KIBWANA
52’—⚽️ Dickson Job (Penalti)

39’—⚽️ Nassor Saadun

Kikosi kilichokuwa kimeundwa na Dickson Job kimeibuka na ushindi kwa penalti 4-3 baada ya mchezo kumalizika kwa bao 1-1 kwenye mchezo wa kirafiki wa hisani uliondaliwa na Taasisi ya WAPE TABASAMU.

Muonekano wa jezi Mpya za AZAM FC kwa ajili ya Msimu ujao wa 2025/2026  *Kwa Emoji Moja Hapa Unaondoka Na U*i Upi?* 🔵⚪⚫ ...
06/07/2025

Muonekano wa jezi Mpya za AZAM FC kwa ajili ya Msimu ujao wa 2025/2026

*Kwa Emoji Moja Hapa Unaondoka Na U*i Upi?*

🔵⚪⚫

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0628080839

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Godfrey Mgaya sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share