23/01/2024
PI.D NIN,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI
YAPI?
PI.D- Pelvic Inflammatory Disease.
PI.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa
mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye
shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo
wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya
uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi
ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na
CHLAMYDIA TRACHOMATIC
WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA PL.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na
kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya
kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au
kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na
sindano)
- Kuwa na U.T.l. sugu au fungus ya muda mrefu
DALILI ZA PI.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza
ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu
MADHARA YA PI.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara
mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha
upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha
yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za
uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai
kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia
mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi
JINSI YA KUEPUKANA NAPLD
Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa
kinga ni bore kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;
-Epuka kufanya ngono zembe
-Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba
kutoka
-Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara
-Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe
bora
-Epuka kushare nguo za ndani
UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI
KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI
HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA
AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI
Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa hivyo basi k**a wataka tiba nitafute
255759991617