Mwanaspoti Halisi

Mwanaspoti Halisi Habari za Michezo
(1)

Mnaonaje kiwango cha Doumbia mpaka sasa? πŸ€” Amefanyiwa cross 9, lakini hakuna hata moja iliyomalizika kuwa On Target. Je,...
27/08/2026

Mnaonaje kiwango cha Doumbia mpaka sasa? πŸ€” Amefanyiwa cross 9, lakini hakuna hata moja iliyomalizika kuwa On Target.

Je, tatizo ni huduma anayopewa au umaliziaji wake?

πŸ”΄Thamani ya kikosi chote cha Simba SC inatajwa kuwa ni €3.03MπŸ’° ambazo ni zaidi ya TSh 9.36 bilioni za Kitanzania.🟑Thaman...
26/08/2026

πŸ”΄Thamani ya kikosi chote cha Simba SC inatajwa kuwa ni €3.03MπŸ’° ambazo ni zaidi ya TSh 9.36 bilioni za Kitanzania.

🟑Thamani Ya kikosi cha Yanga SC ni €5.25m πŸ’°nisawa na Shilingi bilioni 16.2 za Ki Tanzania. πŸ‘€

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: Simba Sc imekamilisha usaiili wa beki wa kati Ibrahim Nindi (18)Mkataba wa miaka mitatu tayari umesainiwa.N...
15/08/2026

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: Simba Sc imekamilisha usaiili wa beki wa kati Ibrahim Nindi (18)
Mkataba wa miaka mitatu tayari umesainiwa.

Nindi amewahi kupita timu ya vijana ya Simba na Senior timu za Mashujaa na KMC.

Pia Aliitumikia Singida BS kwenye mechi za KAGAME CUP 2026.

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: Stephane Aziz Ki ni Mwananchi tena! 🟒🟑 βœ¨β€‹Kiungo mshambuhiaji mahiri, Stephane Aziz Ki, amerudi rasmi katika...
13/08/2026

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: Stephane Aziz Ki ni Mwananchi tena! 🟒🟑 ✨

​Kiungo mshambuhiaji mahiri, Stephane Aziz Ki, amerudi rasmi katika klabu ya Yanga SC.

​Baada ya mazungumzo na taratibu za uhamisho kukamilika kati ya Yanga na klabu ya Al Ittihad ya Libya.

πŸš¨πŸ’£ ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Azam FC imekataa kumuuza kiungo wao mshambuliaji Feisal Salum (28) πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwenda Simba SC kwaajili ya msimu uja...
11/08/2026

πŸš¨πŸ’£ ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Azam FC imekataa kumuuza kiungo wao mshambuliaji Feisal Salum (28) πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwenda Simba SC kwaajili ya msimu ujao wa 2026-27 kwasababu bado wanamuhitaji! πŸ’₯

Azam FC wana makubaliano na Young Africans SC kuwa ikiwa watahitaji kumuuza ndani ya nchi ya Tanzania wapewe taarifa ya uhamisho wa Feisal Salum na ikiwa atatoka pia nje wajulishwe mapema. πŸ”πŸ’™πŸ€

08/08/2026

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’£

08/08/2026

Simba inachekesha k**a sio timu yako🀣

Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Polisi Kenya Kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki leoπŸ”΄Angalia Mechi hii LIVE m...
08/08/2026

Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Polisi Kenya Kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki leo
πŸ”΄Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza LinkπŸ‘‰πŸ½ https://shorturl.at/Kfxbb

Mwalimu ni mnyama ofishoo
08/08/2026

Mwalimu ni mnyama ofishoo

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜:  SIMBA SC YAKAMILISHA USAJILI WA SELEMANI MWALIMU KUTOKA WYDAD Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usaji...
08/08/2026

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: SIMBA SC YAKAMILISHA USAJILI WA SELEMANI MWALIMU KUTOKA WYDAD

Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Kitanzania, Selemani Mwalimu, baada ya kufikia makubaliano na klabu ya Wydad Athletic Club ya Morocco inayomiliki mkataba wa mchezaji huyo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, Simba SC na Wydad zimefikia makubaliano yatakayomuwezesha Selemani Mwalimu kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Msimbazi katika msimu ujao, huku taratibu za mwisho za usajili zikikamilishwa kati ya pande hizo mbili.

Mwalimu, ambaye amekuwa sehemu ya kikosi cha Simba, amefanikiwa kuonyesha uwezo mkubwa katika eneo la ushambuliaji na kuwa miongoni mwa wachezaji ambao klabu imeona umuhimu wa kuendelea kuwa nao katika mipango yake ya msimu mpya.

Uamuzi wa Simba kuendelea na huduma ya Selemani Mwalimu unakuja baada ya mchezaji huyo kuonyesha kiwango kizuri msimu uliopita, ambapo alifanikiwa kuifungia Simba jumla ya mabao 15 katika mashindano yote, jambo lililowafanya viongozi wa klabu hiyo kuona umuhimu wa kuhakikisha anaendelea kubaki ndani ya kikosi.

Kwa sasa, Selemani Mwalimu anatarajiwa kurejea Tanzania muda wowote kuanzia sasa, tayari kwa kuungana na wenzake na kuendelea na majukumu yake ndani ya Simba.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanaspoti Halisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category