Magogoni Football Club

Magogoni Football Club Football⚽️ Academy Based Kigamboni/Dar 🇹🇿

09/11/2025

RATIBA YANGU YA MECHI LEO .....

✍🏻Saa Kumi naangalia mechi ya Yanga Sc dhidi ya KMC ikiisha tu ,

✍🏻Saa kumi na mbili na robo nahamia LALIGA kutazama mechi ya Rayo Vallecano na Real Madrid

✍🏻Ikifika saa kumi na mbili na nusu nastream game ya Fainal ya Al Ahly na Zamalek kwa Pembeni😃😃..

✍🏻Mpaka Kufika saa Moja na Nusu izo za Juu zitakuwa zishanipa uelekeo ni mechi za aina Gani then macho yote nayahamishia kwa Mechi ya Man City na Liverkuku 🔥

✍🏻Baadae Sana hapo nikiwa na Furaha ya Madrid kuangusha alama na Zamalek Kubeba ndoo + Liverkuku Kukalia Kaa la moto ,

✍🏻Nahamia kwenye mechi ya Inter na Lazio saa tano kasoro robo hiyoo nikiwa naskilizia itimu saa tano nkamilishe siku kwa kuangalia timu Bora Duniani ikicheza 😎

✍🏻Ikishafika saa tano kamili Inter na Lazio nawapumzisha kidg then nahamia LALIGA tena kutazama timu ya Wananchi ,timu bora na yenye mvuto ikicheza na Celta Vigo ...

Si mnawajua Celta Vigo !!! Borga Iglesias mzee wa Hattrick yupo, Iago Aspas na yule dogo aliyetunyoosha akiwa na Osasuna msimu jana Bryan Zaragoza yupo Celta 🔥🙌🙌What a match .

✅SIKU INAANZA NA YANGA VS KMC INAMALIZIKA NA BARCELONA VS CELTA VIGO .

🤝Wassalaaam .
@ Credit to Aziz

08/11/2025

How Do we call that? ⚽️

08/11/2025

Vijana

Ukuaji wa Pamoja husaidia sana Football Chemistry 😃
Pamoja since u11

07/11/2025

Maana sahihi ya Kulea Vijana, Tangu under 11 Hadi Leo under17.

Wanangu.Sikilizeni, Iheshimu sana Siku katika Masiku ya Kumbukizi.Haya maSiku Yanabeba ujumbe mzito sana. Màndalizi uwan...
07/11/2025

Wanangu.
Sikilizeni, Iheshimu sana Siku katika Masiku ya Kumbukizi.

Haya maSiku Yanabeba ujumbe mzito sana. Màndalizi uwanja wa mazoezi.

WastaniNi Mpira Mmoja kwa wachezaji wawili. Japo changamoto ni nyingi sana. 🙏🏻
07/11/2025

Wastani

Ni Mpira Mmoja kwa wachezaji wawili. Japo changamoto ni nyingi sana. 🙏🏻

07/11/2025
26/10/2025

Emb tuone

Address

Tungi
Dar Es Salaam
MAGOGONI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magogoni Football Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category