T sports arena

T sports arena Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from T sports arena, Stadium, arena & sports venue, Tz, Dar es Salaam.

Hii wasiione Gaborone UTD 🀣🀣
08/09/2026

Hii wasiione Gaborone UTD 🀣🀣

08/09/2026
27/08/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Adam Salum, Haji Mapezi, Safi Mafutah, Ramso Kiwangala, Isaac Mbwiri, Amiri Shah, Moses Modestus, Emmanuel Merama, MΓ’Γ± PlΓ΄vΓͺr Jr., Gaspal Jang'andu, Amosi Dickison Saimon, Fadhili Ali, Linah Othuman, Abdulrahman Redondo, Petrus Mupakeleni, Yohanec Batista, Omar Yusuph, Nilis Lucas, Abduliazizi Kititi, Suleiman Hamad, Alemson Lameck Ocheke Ocheke, Yakobo Mjema, Seuri Sindeti, Issa Mputi, Mputa Hatibu, Machiya Mshandawa, Nurati Said, Khadij A Bashir, Good Frenki, Adam Gr Ngosha, Ashrafu Shelukindo, Kulwa Yasini, Bunyige Justine, Zaminta Misikinoz, Mwegama Pangamasyo, Mboleka Sadi, Hussein Ramadan, Saidi Mbega, Charles Elias, Juma Kondo, Bornie Dsm, Sanchez Sancho, Yaqub Ally, Stan MC MC, Musa Ibulaimu, Pop Xell, Mohamed Musa, Chiristina Ngunda, Michael Samson, Daxx Deponer

🚨Takribani misimu miwili mfululizo jina la Fei Toto ndio huwa gumzo kwenye dirisha la usajili, huwa anasajiliwa kwa mane...
15/08/2026

🚨Takribani misimu miwili mfululizo jina la Fei Toto ndio huwa gumzo kwenye dirisha la usajili, huwa anasajiliwa kwa maneno Simba Sc au Yanga Sc lakini mwisho wa msimu anabaki zake na Azam Fc.

Mwanetu Fei Toto ameweka watu wengi wazi kwenye dirisha hili la kiangazi πŸ˜‚

Kiungo bora
15/08/2026

Kiungo bora

15/08/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Kipingo S Mshiu, Laurenc Marcel, Robert Camera Chuzi, Nurdini Rashidi Kimwery, Ovitha Ismail, Bahati Joseph, Juma Huseni Mkodo Mkodo, Norasko Erasto, Dotto Benedicto, Mohamedi Haruna, Josephat Tsino, Emmanuel Jeremiah Zacharia, Maudia Tamba, John Fixa Salimo Salimo, Kulwa Shuda, Said A Chibu William, Richard Wanjala Baba Gifty, Meya Nassoro, Jiji Amina Queen, Kamba Boy, Mh Matei, Miiraj Swahel, Mchina Mweusi Aluminium Grass, Prisca Sabwal, Paulo Ng'ayda, Shabani Anton, Vicent Nselu, Barubua Nkando, Omari Issa, Young Boy, Khamis Ramadhan, Joseph Ndorossa, Alex Mmoja, Getfan Locca, Iddy Sesi, Bakali Fikili Pitemu, Sayakuru S Amuran, Antoni Tobiasi, Selamani Issa Sili, Ibrah John, Vumilia Dickison, Kuruwa Kiponda, Madova Mannot, Kessiy Mwigo, Hamisi Mabwe, Halidi Hasani, Bazu Omzain, Elias Maiko, Kibwa Tz Og, Sele Mamba

🚨Simba hawapo serious ndio maana kila siku zinavyoenda timu yao inapoteza ushawishi kwa wanachama wake Wameacha washambu...
15/08/2026

🚨Simba hawapo serious ndio maana kila siku zinavyoenda timu yao inapoteza ushawishi kwa wanachama wake

Wameacha washambuliaji wazuri wameondoka bila hata sababu za msingi na mbaya zaidi wanakuja kusajili washambuliaji wa kawaida ambao sio wa level ya Simba kabisa

Haiwezekani una muacha Mukwala,Ateba,Sowah, Selemani Mwalimu halafu unakuja kumsajili Doumbia na Ismael Mgunda,utakuwa haupo serious

Mgunda na Doumbia sio washambuliaji wa level ya Simba kabisa, Mgunda kafunga goli moja tu msimu uliopita akiwa na mashujaa anakuja kuwasaidia kitu gani Simba?

Simba inarudishwa nyuma na watu ambao wamepewa dhamana ya kuisimamia k**a hela haipo isemwe wazi ila sio kuwadanganya wanachama mnatengeneza timu wakati mnairudisha nyuma

YANGA SC ITATWAA KOMBE LA LIGI KUU YA NBC MSIMU HUU 2026/2027 NA SIO SIMBA SC πŸ’ͺπŸ†K**a Soka sports, Hii ndio prediction ya...
15/08/2026

YANGA SC ITATWAA KOMBE LA LIGI KUU YA NBC MSIMU HUU 2026/2027 NA SIO SIMBA SC πŸ’ͺπŸ†

K**a Soka sports, Hii ndio prediction yangu kuhusu bingwa wa ligi kuu ya NBC msimu huu πŸ™ŒπŸ”₯

Yanga SC ndio timu ambayo naipa asilimia πŸ’― ya kutwaa kombe la ligi kuu ya NBC πŸ™ŒπŸ”₯

Yanga SC wanakikosi kipana cha kubeba makombe uwanjani msimu huu πŸ™ŒπŸ”₯

Yanga SC wana professional players wengi ambao wanauwezo wa kutetea mataji yao tena msimu huu πŸ™ŒπŸ”₯

Simba SC wanakikosi kizuri cha kushindana uwanjani msimu huu lakini sio kikosi cha kubeba ubingwa wa ligi kuu ya NBC πŸ™ŒπŸ”₯

Azam FC wamesajili wachezaji wengi wapya hivyo kwa case ya muunganiko mzuri wa wachezaji uwanjani, hope msimu ujao atakuwa kwenye mbio nzuri za ubingwa wa ligi kuu ya NBC πŸ™ŒπŸ”₯

This is football games πŸ”₯πŸ†

UJIO WA STEPHANIE AZIZ KI NI MUHIMU ZAIDI KULIKO WA FEISAL PALE YANGA SC πŸ”°πŸ”₯ Najua mashabiki wa Yanga SC mnampenda sana F...
15/08/2026

UJIO WA STEPHANIE AZIZ KI NI MUHIMU ZAIDI KULIKO WA FEISAL PALE YANGA SC πŸ”°πŸ”₯

Najua mashabiki wa Yanga SC mnampenda sana Feisal πŸ™ŒπŸ”₯

Natambua pia mnampenda sana Stephanie Aziz Ki πŸ™ŒπŸ”₯

Hawa wachezaji wawili ni vipenzi vikubwa vya wananchi Yanga SC πŸ™ŒπŸ”₯

Lakini tuzungumzie football in general πŸ’ͺ

Stephanie Aziz Ki ana uwezo mkubwa kuliko Feisal uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

Stephanie Aziz Ki ni X factor player ambae anaweza kuimaliza mechi wakati wowote ule uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

Stephanie Aziz Ki pia ana experience kubwa ya kucheza CAF champions league kuliko Feisal πŸ™ŒπŸ”₯

Japo wote ni wachezaji wazuri sana lakini ubora , ufundi na skills zao hazilingani uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

To me Stephanie Aziz Ki is better than Feisal πŸ™ŒπŸ”₯πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

🚨CHALLENGE TIME...πŸ”₯ Huyu jamaa alikuwa na art ya kuunganisha mipira kwa ustadi wa hali ya juu,kila pasi, kila touch na k...
15/08/2026

🚨CHALLENGE TIME...

πŸ”₯ Huyu jamaa alikuwa na art ya kuunganisha mipira kwa ustadi wa hali ya juu,kila pasi, kila touch na kila movement ilikuwa burudani tupu kwa macho! πŸ₯΅βš½πŸ‘πŸΎ

ALIKUWA Mchezaji mwenye kipaji cha kuifanya soka lionekane rahisi, tamu na la kuvutia. What a player!

Lakini sasa swali kwa Watu wa Soka… πŸ‘€βš½
πŸ‘‰πŸΎ MNADHANI HUYU NI NANI?
Tupeni JINA LAKE kwenye comments! πŸ—£οΈπŸ”₯

Address

Tz
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T sports arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share