Yanga kiboko yao

Yanga kiboko yao Yanga Mabingwa wa Muda wote TanzaniaπŸ’ͺ

30Times
15/05/2024

30Times

π™π€π–π€πƒπˆ πŠπ–π€ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ”° π”π™πˆ wa Wananchi sasa ni πŸπŸ“,𝟎𝟎𝟎 𝐓𝐔! K**ata U*i wako Original twende tukakiwashee Jumamosi kwa Mkapa ...
18/04/2024

π™π€π–π€πƒπˆ πŠπ–π€ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ”°

π”π™πˆ wa Wananchi sasa ni πŸπŸ“,𝟎𝟎𝟎 𝐓𝐔! K**ata U*i wako Original twende tukakiwashee Jumamosi kwa Mkapa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ


16/03/2024
β€œSiku ya Ijumaa (siku ya mchezo), tutaonesha mechi yetu hapa jangwani kwa ajili na wanachama mashabaiki na wapenzi wa Ya...
27/02/2024

β€œSiku ya Ijumaa (siku ya mchezo), tutaonesha mechi yetu hapa jangwani kwa ajili na wanachama mashabaiki na wapenzi wa Yanga SC kushuhudia mchezo huo. Mimi k**a Rais wa Shangwe, najaribu kuwaza k**a tunaweza kuwa na shughuli ya kushangilia ushindi wetu wa nne hapa kwenye hiyo siku. Ikiwezekana hata tupate supu”. Meneja Habari na Mawasiliano Young Africans SC
Africans Sports Club

K**a timu yako ina wavunja kuni wengi, hizi takwimu lazima uzichukie!  Africans Sports Club
26/02/2024

K**a timu yako ina wavunja kuni wengi, hizi takwimu lazima uzichukie!
Africans Sports Club

Young Africans Sports Club to the Quarter FinalπŸ”₯πŸ”₯
26/02/2024

Young Africans Sports Club to the Quarter FinalπŸ”₯πŸ”₯

π™ˆπ˜Όπ™“π™„7⃣ π˜Όπ™‹π™€π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™π˜Όπ˜½π˜Ό π™ˆπ™‹π™”π˜ΌBaada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwi...
16/08/2023

π™ˆπ˜Όπ™“π™„7⃣ π˜Όπ™‹π™€π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™π˜Όπ˜½π˜Ό π™ˆπ™‹π™”π˜Ό

Baada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli.

Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari la kifahari pamoja na kumboreshea mshahara wake. Watamuongeza mkataba mpya wa miaka (4). Muda wowote kuanzia leo atasaini mkataba mpya na klabu hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, pia klabu hiyo itamuongeza mkataba mpya wing-back wao, Yao Attohoula (26)

Ukiachana na viwango vyao, pia uongozi wa Yanga umeshtukia mchezo wa baadhi ya mawakala kutoka ndani na nje ya Nchi walioanza kuulizia mikataba yao.

 Vipi mwamba aboreshewe maslahi upya au wamuache k**a alivyo?!!
16/08/2023


Vipi mwamba aboreshewe maslahi upya au wamuache k**a alivyo?!!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga kiboko yao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share