Bongo Shine Tv

Bongo Shine Tv BONGO SHINE TV inakuwezesha kujua habari zote za michezo. Ziwe za kitaifa au kimataifa, Pia kusikil

UCHAMBUZI WA UFM, MORISON KUTUA YANGA, MANARA AFUNGUKA
13/06/2022

UCHAMBUZI WA UFM, MORISON KUTUA YANGA, MANARA AFUNGUKA

UCHAMBUZI WA UFM, MORISON KUTUA YANGA, MANARA AFUNGUKA

MAHABA YAMERUDI!! KAJALA AMPOST HARMONIZE HADHARANI
13/06/2022

MAHABA YAMERUDI!! KAJALA AMPOST HARMONIZE HADHARANI

ZUCHU AKIMKATIKIA MIUNO DIAMOND HADHARANI BILA AIBU
24/03/2022

ZUCHU AKIMKATIKIA MIUNO DIAMOND HADHARANI BILA AIBU

Miuno ya ZUCHU kwa DIAMOND Platnumz ni balaa, amkatikia hadharani, ZUCHU na DIAMOND mahaba yao sio siri tena. hii ndio video ikimuonesha ZUCHU akimkatikia mi...

21/03/2022

Historia ya PETER TOSH, Aliyekuwa mwalimu wa BOB MARLEY. Alikuwa muhamasishaji wa muziki wa Reggae duniani. Pamoja na kwamba wengi wamepandikizwa mizizi ya kuamini kuwa muasisi wa muziki huu ni Bob Marley na kuucha ukweli wa kwamba Bob alijiunga na kundi la The Wailers akimkuta PETER TOSH akiwa amesha utambulisha muziki huo vilivyo...
Fahamu HISTORIA yake na Fatilia kupitia channel yako pendwa ya BONGO SHINE TV. Historia hii ya Nguli wa Muziki wa Reggae Duniani.

MFAHAMU PETER TOSH, NGULI WA MUZIKI WA REGGAE DUNIANI / MWALIMU WA BOB MARLEY
21/03/2022

MFAHAMU PETER TOSH, NGULI WA MUZIKI WA REGGAE DUNIANI / MWALIMU WA BOB MARLEY

ya PETER TOSH, Aliyekuwa mwalimu wa BOB MARLEY. Alikuwa muhamasishaji wa muziki wa Reggae duniani. Pamoja ...

Klabu ya SIMBA ikijiandaa na mechi dhidi ya ASEC MIMOSAC Ambayo itachezwa huko nchini BENIN.SIMBA imeanza mazoezi mara t...
19/03/2022

Klabu ya SIMBA ikijiandaa na mechi dhidi ya ASEC MIMOSAC Ambayo itachezwa huko nchini BENIN.
SIMBA imeanza mazoezi mara tu baada ya kutua nchini humo kwa ajili ya Mechi ya marudiano ya kombe la shirikisho la Africa dhidi ya ASEC MIMOSAC ambayo itachezwa jumapili ya wiki hii ya tarehe 20 machi mwaka huu.

Address

Dar Es Salaam
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Shine Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category