Chikao Media

Chikao Media Page hii ni maalumu kwa kuweka habari za kimichezo na burudani hapa

29/05/2026

😂😂💔💔

ASANTE KWA KUTUAMINI CHIKAO MEDIA10K FOLLOWERS AT FACEBOOK & INSTAGRAM
17/05/2026

ASANTE KWA KUTUAMINI CHIKAO MEDIA

10K FOLLOWERS AT FACEBOOK & INSTAGRAM

13/05/2026

Eti ukiwa wapi

09/05/2026

Na wakitoka hapo wanaanza kuimba nani k**a mama 🤣💔



07/05/2026

Ahmed Ally akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa Simba dhidi ya JKT, Azungumza juu ya upekee wa goli la Chama.

06/05/2026

😂😂😂 ila goli la chama 😂💔

🎥 Laxy



Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalv...
06/05/2026

Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves, kufuatia maamuzi ya uongozi wa klabu hiyo.

Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa Yanga umemshukuru kocha huyo kwa mchango wake ndani ya klabu na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake yajayo.

Katika kipindi hiki cha mpito, timu hiyo itaongozwa na makocha Abdihamid Moalin pamoja na Patrick Mabedi hadi mwisho wa msimu.

Hatua hiyo inaashiria mabadiliko ya kiufundi ndani ya kikosi hicho huku mashabiki wakisubiri kuona mustakabali wa timu yao katika mechi zilizosalia za msimu.

06/05/2026

Baadhi ya mashabiki wa Real Madrid wameanza kuonyesha kutoridhishwa kwao na nyota wao Kylian Mbappé kupitia maoni kwenye chapisho lake la Instagram, wakimtaka aondoke ndani ya kikosi hicho.

Miongoni mwa ujumbe unaosambaa ni k**a:
“Mbappé, tafadhali ondoka kwenye timu yangu,”
“Mbappé out,”
na “Baki Italia, usirudi Madrid.”

Hali hii inaashiria kuongezeka kwa presha kutoka kwa mashabiki kufuatia kiwango chake cha hivi karibuni uwanjani.

Sponsored:

Clatous Chama huenda akaingia kwenye historia ya soka kutokana na bao lake la kuvutia alilofunga katika dabi dhidi ya Yo...
05/05/2026

Clatous Chama huenda akaingia kwenye historia ya soka kutokana na bao lake la kuvutia alilofunga katika dabi dhidi ya Young Africans SC, ambalo linatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kuwania tuzo ya FIFA Puskás Award.

Bao hilo la kipekee limeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki na wachambuzi wa soka, wengi wakilisifu kwa ubunifu, umaridadi na ubora wa hali ya juu. Ikiwa litateuliwa rasmi, litakuwa heshima kubwa kwa mchezaji huyo pamoja na ligi ya Tanzania kuonekana zaidi kimataifa.

Sponsored:

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chikao Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category