Bongo sports

Bongo sports this page for sports news

Klabu ya Simba SC Tanzania yatangaza mkutano na wahandishi wa abali
26/08/2021

Klabu ya Simba SC Tanzania yatangaza mkutano na wahandishi wa abali

Repost from no dewjji
26/08/2021

Repost from no dewjji

Ilikua ni furaha kukutana na Jason Levien, ambae ni mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya DC United ambayo ina thamani ya dola za kimarekani millioni 700! D.C. United

Nina furaha kutangaza ushirikiano mpya kati ya klabu za DC United na Simba.

Ifikapo mwaka 2022, klabu ya Simba itasafiri kwe da Marekani kwaajili ya mazoezi na maandalizi ya msimu mpya, na pia itashiriki katika mashindanobya kimataifa yatakayoandaliwa na klabu ya DC United, ambayo yatahusisha ligi ya MLS na vilabu kutoka Amerika ya Kusini.
//
It was a pleasure to meet Jason Levien, owner of American professional soccer club DC United, which is valued at over 700M USD!

I am excited to announce a new partnership between DC United and Simba Sports Club.

In 2022, Simba will travel to America 🇺🇸 for preseason training and will also participate in an international soccer tournament hosted by DC United that will include Major League Soccer (MLS) and Clubs from South America.

Afisa abali wa klabu ya simba sc Ezekiel kamwaga amethibitisha kuwa kiungo saidi hamisi ndemla amejiunga na mtibwa sugar...
26/08/2021

Afisa abali wa klabu ya simba sc Ezekiel kamwaga amethibitisha kuwa kiungo saidi hamisi ndemla amejiunga na mtibwa sugar kwa mkopo

Chirwa ndani ya namungo fc amejiunga akiwa mchezaji huru akitokea azam fc
26/08/2021

Chirwa ndani ya namungo fc amejiunga akiwa mchezaji huru akitokea azam fc

Mohammed issa banka amejiunga na klabu ya namungo fc akitokea klabu ya ruvu shooting
26/08/2021

Mohammed issa banka amejiunga na klabu ya namungo fc akitokea klabu ya ruvu shooting

Kaimu katibu mkuu wa klabu ya yanga sc CPA haji mfikirwa amesema haji manara haendi kuchukua nafasi ya nugazi au bumbuli...
26/08/2021

Kaimu katibu mkuu wa klabu ya yanga sc CPA haji mfikirwa amesema haji manara haendi kuchukua nafasi ya nugazi au bumbuli ila kuna kazi maalumu ambayo watampa aende akaifanye

SIMBA SC siku ya leo huenda wakatangaza tarehe ya simba day
26/08/2021

SIMBA SC siku ya leo huenda wakatangaza tarehe ya simba day

JEZI MPYA ZA KLABU YA YANGA SC
25/08/2021

JEZI MPYA ZA KLABU YA YANGA SC

Uongozi wa klabu yanga sc umesema utatambulisha jezi mpya za msimu ujao kwenye siku ya mwananchi lengo la kufanya hivo n...
20/08/2021

Uongozi wa klabu yanga sc umesema utatambulisha jezi mpya za msimu ujao kwenye siku ya mwananchi lengo la kufanya hivo nikuepuka wale wanao tengeneza jezi feki

Jezi za nyumbani na ugenini za azam fc
20/08/2021

Jezi za nyumbani na ugenini za azam fc

Jezi namba mbili ya ugenini ya azam fc
20/08/2021

Jezi namba mbili ya ugenini ya azam fc

Makambo na mayele combo mpya ya wananchi
20/08/2021

Makambo na mayele combo mpya ya wananchi

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255672220900

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share