Shîlôh îñtęllîgęñt gęñîüš

Shîlôh îñtęllîgęñt gęñîüš 🫂➪I Wish Dears PEACE and LOVE Appear ALMIGHTY~𝐆𝐎𝐃🫶🏽
🔥❤‍🔥 🥷🏾
🕯️🫰🏽 🇷🇼🇹🇿🇧🇮
🫴🏽

KUHUSU WATU WAKIMYA na WAPOLE          1. Wanaweza kuongea na kuzungumza kwa uwazi hata ucheshi na wewe kwenye mitandao ...
03/06/2025

KUHUSU WATU WAKIMYA na WAPOLE

1. Wanaweza kuongea na kuzungumza kwa uwazi hata ucheshi na wewe kwenye mitandao ya kijamii lakini katika maisha halisi ni barafu sio wasemaji

2. Wanaweza kuishi bila kutegemea nguzo ya mtu mwengine ( jeshi la mtu mmoja). Wanaweza kukaa ndani kwa wiki bila kujali

3.Wanahesabu matukio, mshik**ano, mguso mdogo wanakasirika upesi , werevu wamapenzi kwa yule wanayempenda. Wagumu kuingia kwenye penzi lakini mara wanapoangukia penzi wanapenda kweli hawatanii

4. Siwasaliti lakini rahisi kugundua usaliti , (wana wasiwasi). Wanaweza kusoma mawazo ya watu kabla hujasema, mara chache huwa na marafiki na washirika katika shughuli zozote, huwa hawafurahii kukaa mahali penye watu wengi na daima hupenda kukaa peke yao

5. Wao huzungumza kwa ugumu katikati ya watu lakini huzungumza kwa upole wanapokuwa na wapenzi wao.
Kwa kawaida watu huwaona k**a watu wanaojivuna sana lakini sivyo.

6. Wanaweza kuvumilia mengi lakini usiwapuuze au kuwachukulia kawaida kwa sababu wakishaamua, umewapoteza jumla huwa hawarudi nyuma

7. Wana hisia sana Hawasahau kwa urahisi mambo mabaya ambayo mtu aliwafanyia

8. Hawashiriki shida zao kwa mtu yeyote au kuomba msaada kwa watu bila kujali wanapitia nini

9. Huwezi kuangalia aina ya mtu kirahisi mpaka utakapokuwa karibu naye
Hazitabiriki

Je wewe ni wa aina gani???
Napitia Comment zenu 💬

Sema tuu ukweli Ulivyokuwa Shule ya Msingi Primary ulikuwa unaonewa 😂😂😂
18/02/2025

Sema tuu ukweli Ulivyokuwa Shule ya Msingi Primary ulikuwa unaonewa 😂😂😂

NJIA RAHISI 6 ZA KUTOBOA MAISHA💰1}Kuwa na malengo ya kudumu:-👉Wengi wetu tunapuuzaga malengo kwa matamanio; Ukiulizwa le...
15/12/2024

NJIA RAHISI 6 ZA KUTOBOA MAISHA💰
1}Kuwa na malengo ya kudumu:-
👉Wengi wetu tunapuuzaga malengo kwa matamanio; Ukiulizwa lengo la siku ya jana tu asilimia 100% hawajui jana wamepanga nini na wamefanikiwa kwa kiasi gani kwa siku ya jana; Usipokuwa na malengo ya kudumu utaishi k**a Treni.

2{Kuwekeza 'save' Pesa:-
👉Utamaduni wa kusave pesa umetupitia kushoto wengi kati yetu hutaweza kufanya uwekezaji wowote katika maisha, Wazungu wanasema 'You can only invest what u save';
Anza utamaduni leo wakujiwekea japo Elfu 3 au Elfu 2 kwa siku, hakika utaona mafanikio yake na utanishukuru baadae.

3}Kutotegemea chazo kimoja cha kipato:-
👉Kama katika maisha yako unategemea chazo kimoja cha mapato utasubiri sana kuitwa Boss; Jenga utamaduni wakuwa na vyanzo vingi vya mapato hata k**a vitakua vidogo usijali vitakua ukivifanyia kazi.

4}Usiogope kukopa k**a unapozipeleka Pesa unamalengo zitarudi:-
👉Kukopa kunasaidia kutanua mtaji wako na kuongeza faida kubwa kwa pamoja kuliko kuzungusha kamtaji kadogo mda mrefu; Pia tembelea maisha na biashara za watu wengine kujua jinsi gani wanaishi itakufungua akili kuona namna gani upige hatua utoke ulipo, Kua na utamaduni wa kufanya window shopping na kutembea siku zako za mapumziko kuona jinsi gani wengine wamekuzidi.

5}Tumia Social network na Internt vizuri:-
👉Ukitumia social network vizuri kwa sasa unafanikiwa kuliko hata ungekuwa na ofisi au fremu; Ukifanikiwa kufanya simu/PC kuwa k**a ofisi yako ni sawa una duka kiganjani.

6}Kua na Mwanamke mmoja katika maisha yako:-
👉Hii itakupunguzia gharama za maisha na itakufanya u focus; ku deal na wanawake zaidi ya mmoja Pesa zako zote zitaishia kulisha Wanawake wasio kuwa na faida katika utafutaji wako; Badilika sasa! Funguka!, punguza idadi yao, Ongeza Kipato chako.
Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae🥱

┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊  ██┊ ◢█◣◢█◣┊█┊   ██████┊█┊     ◥███◤  ██             ◥◤┊┊┊┊ ┊┊┊┊ ┊┊┊┊┊█┊█  █▔█  █┊█ ┊┊◥▂◤  █┊█  █┊█ ┊┊┊█┊  ...
14/12/2024

┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊┊
██┊ ◢█◣◢█◣
┊█┊ ██████
┊█┊ ◥███◤
██ ◥◤
┊┊┊┊ ┊┊┊┊ ┊┊┊┊
┊█┊█ █▔█ █┊█ ┊
┊◥▂◤ █┊█ █┊█ ┊
┊┊█┊ █▂█ █▂█ ┊
◢━━━━━♡━━━━━◣

▓▓▓◣▓◣▓◣▓◣▓◣▓▓▓◣
▓█▓█▓█▓█▓█▓█▓███
▓▓▓█▓█▓█▓▓▓█▓▓▓◣
◥█▓█▓█▓█◥▓██◥█▓█
▓▓▓█▓▓▓█ ▓█ ▓▓▓█
◥███◥███ ◥█ ◥███

🥺Mwanzoni una Chat na Mpenzi wako mpaka Saa 6 Usiku, au Mnaongea hadi Saa 7 Vizuri tuu, na mara zingine mnakesha kwa ku Chat na kuongea hadi kuna pambazuka 🥱

🤔Lakini Mkishapendana na kupeana ma Utamu tuuu😋 sijui Usingizi Wa Saa 3 unatokaga wapi!!! 😂😂😂

Hapo mnakubaliana na Mimi kwa % ngapi Wakuu!??  😟
23/10/2024

Hapo mnakubaliana na Mimi kwa % ngapi Wakuu!?? 😟

Hivi ni halali   kumkopesha  ??? 😂😂😂😂😂
17/04/2024

Hivi ni halali kumkopesha ??? 😂😂😂😂😂

💁‍♂️Zingatia haya...✍️ 1👉Wapende  wanaokuchukia, 🫶2👉Wakumbuke waliokusahau, 👋3👉Wasamehe waliokukosea  na uitunze Amani y...
13/04/2024

💁‍♂️Zingatia haya...✍️
1👉Wapende wanaokuchukia, 🫶
2👉Wakumbuke waliokusahau, 👋
3👉Wasamehe waliokukosea na uitunze Amani ya Moyo wako isipotee; 😊

🤷🏽‍♂️Na Kitu bora cha kumpa mwenzio ni 👉" ", 🥱
🤷🏽‍♂️Cha kumpa Adui ni 👉" ", 🫂
🤷🏽‍♂️Cha kuwapa Wazazi ni 👉" ", 👨‍👩‍👧‍👦
🤷🏽‍♂️Cha kumpa rafiki ni 👉" ", 🧏
🤷🏽‍♂️Cha kumpa mtoto ni 👉" ", 🌃
🤷🏽‍♂️Cha kuwapa watu wote ni 👉" ", 💘
🤷🏽‍♂️Cha kujipa mwenyewe ni 👉" ", 🤌

🔜Lakini cha kumpa ni 👉" "!;👐

❤‍🔥 💌Nawatakia wakati mwemaa🕊️
🫰 ⚜️🔱⚜️🔱⚜️🔱⚜️

Kweli au si kweli??? 😂😂😂
10/04/2024

Kweli au si kweli??? 😂😂😂

10/04/2024

🔥
🕯️ 💘
Ni Level gani ya Elimu imekupa Marafiki ambao umedumu nao hadi leo???
1} Primary
2} Secondary
3} A Level
4} Chuo
5} Kitaa

╔═╗╔╗╔╗╔╗╔╗    ╔═╗╚═╗║╬╬║║║║║_  ║▒║══╝╚╝╚╝╚╝╚═╝╚═╝         🔥   '┏┻┓┏┻━┻┓┃           ┃┗━━━┛          🔥              🔥   🔥...
14/11/2022

╔═╗╔╗╔╗╔╗╔╗ ╔═╗
╚═╗║╬╬║║║║║_ ║▒║
══╝╚╝╚╝╚╝╚═╝╚═╝
🔥
'┏┻┓
┏┻━┻┓
┃ ┃
┗━━━┛
   
 
🔥 🔥 🔥 🔥
🕯️   ╭┻━┻━┻╮
   ╭┻━━━━━┻╮
   ┣14/11/█▒█▒┫
  ╭┻┻┻┻•━┻┻┻┻╮
  ┣ 🎁🕊️🎉 🍗 🌹 🦚┫
 ┣✨🍷 🥂🍹🍔🍏🍭┫
╭┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻╮
┣🎂 Shîłôh Måstêr ┫
╰┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻┻╯

︵ ❤‍🔥 ︵︵
( ╲ / /
╲ ╲/ /
╲ ╲ /
╭ ͡ ╲ ╲
╭ ͡ ╲ ╲ ノ
╭ ͡ ╲ ╲ ╱
╲ ╲ ╱
╲ ╱

* ҉* ҉* ҉* ҉* ҉* ҉* ҉
╭*⌒⌒*╮
(│ ✪ ‿ ✪│)
╰┬•ღღ•┬╯
Shîlôh🥷🏾
👉🏽The Lord's grace made this Birthday Possible🙏🏽, Today is My Birthday✍🏽, and I'm really excited about it!🕊️ Thank you for your unfailing love🤗;

👉🏽Almight God, you have granted me health and happiness😊, Help me achieve all my goals in life, I dedicate all my wins to you, my Lord, so i'm forever grateful!!😊😊😊;

👉🏽i'm Proud to be Born on a Day like Taday because my Star⭐💎 is Scorpion🦂, also i'm very Happy beyond measure because i thank the Almighty God for enabling me to see another year🤗, this is impossible to Human❌, but to the creator of Heaven and Earth it's Possible💯%✔️, so may the name God be praised🕊️.

Address

Dar Es Salaam
THEWHOLEWORLD

Telephone

+255623534498

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shîlôh îñtęllîgęñt gęñîüš posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share