anode360

anode360 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from anode360, Sports, Dar es Salaam.

GO AND PARTY LIKE 1994🙌,football ni zaidi ya Uchizi.Hili ni tukio pale Goodson Park baada ya Everton kupindua meza kibab...
19/05/2022

GO AND PARTY LIKE 1994🙌,

football ni zaidi ya Uchizi.

Hili ni tukio pale Goodson Park baada ya Everton kupindua meza kibabe,

Bao la Calvert Lewin limewafanya mashabiki kushuka kutoka jukwaani na kuingia dimbani kushangilia bao hilo ambalo linafufu matumaini ya Everton kuendelea kusalia ligi kuu.

Knowledge Musona maarufu kwa jina la Smilling Assasin ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Zimbabwe.Musona mw...
19/05/2022

Knowledge Musona maarufu kwa jina la Smilling Assasin ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Zimbabwe.

Musona mwenye umri wa miaka 31 ameitumikia Zimbabwe kwenye michezo 49 na kufanikiwa kufunga mabao 24.

Kinda wa kimataifa wa Tanzania Hajji Suleiman Mnoga (  ) amemaliza mkataba wake wa mkopo kwenye klabu ya Weymouth inayos...
16/05/2022

Kinda wa kimataifa wa Tanzania Hajji Suleiman Mnoga ( ) amemaliza mkataba wake wa mkopo kwenye klabu ya Weymouth inayoshiriki ligi ya national league huko Uingereza.

Mlinzi huyo ambaye ameitumikia Taifa Stars michezo miwili ya kirafiki mwezi machi 2022 anajiandaa kurejea kwenye klabu yake ya Portsmouth.

Mnoga ana umri wa miaka 20 ma anamudu kucheza eneo la ulinzi wa kulia na kati.

And It’s Arsenal,Arsenal FC ,We’re by Far the Greatest team,the world has ever seen😎.We all follow Arsenal,Over land and...
12/05/2022

And It’s Arsenal,Arsenal FC ,

We’re by Far the Greatest team,the world has ever seen😎.

We all follow Arsenal,Over land and see,

We all follow the Arsenal onto victory😊.

OOOH TO BE AGOONER☺️

08/05/2022
Brother -
07/05/2022

Brother -

 |   |  |  |  |  |
01/05/2022

| | | | | |

🧠,Thank you for your assistance |consideration |encouragement | Guidance | Time🙏🏻.
29/04/2022

🧠,Thank you for your assistance |consideration |encouragement | Guidance | Time🙏🏻.

Profesa wa Ghetto,  Mzee wa VISIT MOROGORO🇹🇿
23/04/2022

Profesa wa Ghetto,

Mzee wa VISIT MOROGORO🇹🇿

14/04/2022

90+3 |UEL

BARCELONA 1-3 FRANKFURT[Agg 2-4]

Maombi kwa nguvu Barcelona😹

ZANIOLO ON FIRE🔥ROMA 4-0 BODOE/GLIMIT⚽️⚽️⚽️Zaniolo⚽️Abraham60’ Game On
14/04/2022

ZANIOLO ON FIRE🔥

ROMA 4-0 BODOE/GLIMIT

⚽️⚽️⚽️Zaniolo
⚽️Abraham

60’ Game On

“We can do no great things, only small things with great love."-Mother Theresa🙏🏻.DELIGHT MAKERS' GROUP] DELIGHT MAKERS' ...
12/04/2022

“We can do no great things, only small things with great love."-Mother Theresa🙏🏻.

DELIGHT MAKERS' GROUP] DELIGHT MAKERS' GROUP]

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when anode360 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category