Mic On Ball

Mic On Ball Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mic On Ball, Sport & recreation, P. O. Box 345, Dar es Salaam.

English & Swahili football commentary, breaking news, match reactions and in-depth analysis ⚽🎙️

Uchambuzi wa mechi, habari za michezo na commentary kali za football kwa Kiingereza na Kiswahili ⚽

— Globe Football Vibes

Show us your stadium This one is for Simba SC Tanzania
03/09/2026

Show us your stadium
This one is for Simba SC Tanzania

MASHABİKİ WA SİMBA WACHARUKA YANGA KUMTUMİA FABRİZİO ROMANO UTAMBİLİSHO WA JEZİ ZAO ZA CAFCLManeno yamekuwa Mengi Kwa ma...
03/09/2026

MASHABİKİ WA SİMBA WACHARUKA YANGA KUMTUMİA FABRİZİO ROMANO UTAMBİLİSHO WA JEZİ ZAO ZA CAFCL
Maneno yamekuwa Mengi Kwa mashabiki wa Simba SC Tanzania baada ya watani wao Young Africans Sports Club kumtumia nguli wa habari za michezo ulimwenguni Fabrizio Romano KUMTAMBULISHA jezi zao watakazotukia kwenye mashindano yaao ya TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

Je Kuna ukweli ndani yake au ni wivu wivu mama wivu
# answary

Hizi Sifa Sasa Zimezidi mipaka Wananchi Young Africans Sports ClubKlabu ya wananchiiiiiiii Yanga imezindua Jezi ambazo w...
03/09/2026

Hizi Sifa Sasa Zimezidi mipaka Wananchi Young Africans Sports Club

Klabu ya wananchiiiiiiii Yanga imezindua Jezi ambazo watazitumia kwenye mashindano ya TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup CAFCL watakazoanza kuzitumia kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Gaborone.
Lakini Hii sio story story kubwa ni aliyezizindua jezi hizo ni Yule Mzee Wa HERE WE GO Fabrizio Romano a famous sports journalist from Europe!!
Swali kubwa ni jeee wananchi wataweza kutendea haki ukubwa na promo ja jezi hiyoo Kwa kufikia hatua za mbali za mashindano hayooo!!!!

This is FC Barcelona Brothers and sisters Gaby Jesus' is here
02/09/2026

This is FC Barcelona Brothers and sisters
Gaby Jesus' is here

The blues 💙 Chelsea Football Club knows how to do a business
02/09/2026

The blues 💙 Chelsea Football Club knows how to do a business

The Tanzanian Citizens (Wananchi) Young Africans Sports Club are away on their wings flying just higher to Botswana to f...
02/09/2026

The Tanzanian Citizens (Wananchi) Young Africans Sports Club are away on their wings flying just higher to Botswana to follow Gaborone ahead of their clash in CAFCL Preliminary stage seeking to qualify for the competi TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

MDOGO WAKE MESSİ HUYOOO MANCİTY The maestro midfielder Enzo Fernand is coming to you cityzens Manchester City
01/09/2026

MDOGO WAKE MESSİ HUYOOO MANCİTY
The maestro midfielder Enzo Fernand is coming to you cityzens Manchester City

LEO MESSİ - İMETOSHAThe G.O.A.T Leo Messi amesema kwaheri kuchezea Timu ya Taifa ya Argentina Selección Argentina in Eng...
01/09/2026

LEO MESSİ - İMETOSHA

The G.O.A.T Leo Messi amesema kwaheri kuchezea Timu ya Taifa ya Argentina Selección Argentina in English Baada ya kutumikia taifa Hilo Kwa takribani miaka 21.
Mafanikio aliyoyapata na Taifa Hilo hayaelezeki!!

İkumbukwe Kuwa hapo awali 2016 Messi alitangaza kustaafu kutumikia taifa Hilo Baada ya kujiona Kuwa hapati mafanikio na Taifa Hilo lakini badae alirudi tena dimbani kuvaa jezi za Timu ya taifa hilo!!

Lakini wakati Huu ameeleza Kwa kusisitiza Kuwa İMETOSHA

Easy work for LaLiga defending champions FC Barcelona againist Rayo VallecanoRaphinha,Yamal can't be stopped already!;  ...
01/09/2026

Easy work for LaLiga defending champions FC Barcelona againist Rayo Vallecano
Raphinha,Yamal can't be stopped already!;

Matajiri wa jiji Azam FC wako motooo
31/08/2026

Matajiri wa jiji Azam FC wako motooo

Address

P. O. Box 345
Dar Es Salaam
112BUZA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mic On Ball posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share