YFTV Thia is Yanga Football Club Fans Page, Daima mbele nyuma mwiko οΏ½

11/08/2026

Pesa imetumika

Karibu Coach
22/07/2026

Karibu Coach

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°πŸ†  πŸ†š JS Kabylie πŸ—“οΈ 15 February 2026🏟️ Amaan Complex ⏱️ 01:00 UsikuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
15/02/2026

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ†
πŸ†š JS Kabylie
πŸ—“οΈ 15 February 2026
🏟️ Amaan Complex
⏱️ 01:00 UsikuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ


πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°πŸ†  πŸ†š AS Far πŸ—“οΈ 07 February 2026🏟️ Stade olympique de Rabat ⏱️ 02:00 UsikuπŸ‡²πŸ‡¦ | 04:00 UsikuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
07/02/2026

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ†
πŸ†š AS Far
πŸ—“οΈ 07 February 2026
🏟️ Stade olympique de Rabat
⏱️ 02:00 UsikuπŸ‡²πŸ‡¦ | 04:00 UsikuπŸ‡ΉπŸ‡Ώ


Kazi Kazi wananchi
05/02/2026

Kazi Kazi wananchi

Hongera Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED kwa kushinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja wa Kihistoria wa Klabu yetu ya Young Afri...
02/02/2026

Hongera Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED kwa kushinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja wa Kihistoria wa Klabu yetu ya Young Africans SCπŸŸοΈπŸ‘πŸ€©

Neno moja la pongezi kwa GSM, Mwananchi…


Viongozi wetu wakiongozwa na Rais wa Klabu walikuwa na ndoto ya kujenga uwanja, wakaamua kuwa uwanja ujengwe makao makuu...
02/02/2026

Viongozi wetu wakiongozwa na Rais wa Klabu walikuwa na ndoto ya kujenga uwanja, wakaamua kuwa uwanja ujengwe makao makuu ya klabu yetu. Wakashauriwa na wataalamu. Lakini wakagundua lazima wapate nyongeza ya ardhi ili uwanja wetu ukidhi matakwa CAF. Serikali ikatupatia eneo na Hati tunayo na baada ya mchakato huo tukatafuta mkandarasi ambaye atatujengea uwanja. Hatimaye GSM Tanzania LTD wameshinda tenda hii” Ally Kamwe


β€œNichukue Fursa hii kuwatangazia Watanzania, Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED ndiyo iliyoshinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja...
02/02/2026

β€œNichukue Fursa hii kuwatangazia Watanzania, Kampuni ya GSM TANZANIA LIMITED ndiyo iliyoshinda tenda ya Ujenzi wa Uwanja wa Young Africans Sports Club”


β€œKabla sijaenda kwenye Agenda iliyotuleta leo hii, Uongozi wa Young Africans umenituma kuwaeleza haya yafuatayo, Jana wa...
02/02/2026

β€œKabla sijaenda kwenye Agenda iliyotuleta leo hii, Uongozi wa Young Africans umenituma kuwaeleza haya yafuatayo, Jana wakati wenzetu wanamaliza mchezo wao zilitembea Video nyingi zikiwaonesha Mashabiki kumvamia mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sports Club Murtaza Mangungu, Young Africans tunakemea na kupinga vikali vitendo vya kihuni vilivyofanyika hapo jana, hata hivyo tunampa Pole Mwenyekiti pamoja viongozi wengine waliyopatwa na Kadhia ile” Ali Kamwe


Address

Kisutu Street
Dar Es Salaam
75903

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YFTV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category