Simba Fans Club

Simba Fans Club Page Maalum Kwa Mashabiki Wa Simba Sports Club
(2)

Je wewe umejiona kwenye picha la mashabiki? K**a hauko unampango gani kuja uwanjani kuwaona wanetu wa Lunyasi!
10/06/2026

Wote ni bora ila Nani anapaswa kupiga hii free kick?

Tumemiss burudani ya hawa viumbe, ligi irejee tu maana siyo kwa kusubiri huku.
10/06/2026

Tumemiss burudani ya hawa viumbe, ligi irejee tu maana siyo kwa kusubiri huku.

Soka la wanawake limekuwa SANA nchini, hizi ni Juhudi za Simba SC Tanzania kulitangaza taifa kwenye nyanja ya michezo.
04/06/2026

Kikosi bora cha mashindano. Tanzania tumetoa wanne. Huku nyota wa simba Mbegu akiongoza safu ya ulinzi.

Kwenye ramani ya Africa bado tupo sana. Ila wao siwaoni😅
25/05/2026

Kwenye ramani ya Africa bado tupo sana. Ila wao siwaoni😅

Hatimae mchezaji wangu kipenzi Naby Camara amewekwa kwenye kikosi pili.
24/05/2026

Hatimae mchezaji wangu kipenzi Naby Camara amewekwa kwenye kikosi pili.

Chama tena kawa man of the match. Hakuna namna yoyote ile ya kumnyima MVP ya NBC  2026
21/05/2026

Chama tena kawa man of the match. Hakuna namna yoyote ile ya kumnyima MVP ya NBC 2026

Address

Msimbazi
Dar Es Salaam
12103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Fans Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simba Fans Club:

Share