Tboi Analysis, stories & unforgettable moments
From the streets to the world

01/09/2026

BAADA YA DHIKR SEMA

ALHAMDULILLAH

WAISLAM

01/09/2026

NITASHANGAA MUISLAM KUPITA BILA KUMSHUKURU MUNGU JAPO

ALHAMDULILLAH

Naa_12
09/05/2026

Naa_12

02/05/2026

My dear dada halima

Ba MaC
02/05/2026

Ba MaC

Chini ya jua kali, bado nasubiri green yangu 🚦
01/05/2026

Chini ya jua kali, bado nasubiri green yangu 🚦

Mimi...
01/05/2026

Mimi...

01/05/2026

Jibril Rajoub alisimama mbele ya jukwaa la FIFA na kufanya kitu ambacho si kila kiongozi anaweza alikataa kushikana mkono na mwakilishi wa Israel Football Association.
Hata baada ya kuitwa tena na Rais wa FIFA, Gianni Infantino, msimamo wake haukubadilika.

Huu haukuwa mchezo wa protokali huu ulikuwa ujumbe.
Ujumbe kwamba kuna maumivu ambayo hayawezi kufunikwa na tabasamu la jukwaani.

Katika dunia ya soka inayohubiri “fair play”, wakati mwingine haki yenyewe ndiyo inakuwa mjadala.
Na kwa Rajoub, heshima haimaanishi kushikana mikono na upande anaouona k**a chanzo cha mateso ya watu wake.

Sio kila picha ya pamoja ni ishara ya amani. Wakati mwingine, kukataa ndiyo msimamo wenye nguvu zaidi.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tboi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share