Mkomboz sport news

Mkomboz sport news Sport news

Bale is back Hivyo ndio Unaweza kusema mara  winga wa kimataifa wa Wales kusain mkataba na klabu ya Tottenham
19/09/2020

Bale is back
Hivyo ndio Unaweza kusema mara winga wa kimataifa wa Wales kusain mkataba na klabu ya Tottenham

Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano binafsi na Kiungo wa Lyon ya ufaransa Houssem Aouar
18/09/2020

Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano binafsi na Kiungo wa Lyon ya ufaransa Houssem Aouar

Deal done
12/08/2020

Deal done

Kiungo wa Yanga Feisal salum ameongeza mkataba wake wa kuwatumikia timu ya wananchi leo hii
10/08/2020

Kiungo wa Yanga Feisal salum ameongeza mkataba wake wa kuwatumikia timu ya wananchi leo hii

Aliyekuwa C.E.o wa simba rasmi amejiunga na Yanga Mara baada ya kujiuzulu simba
09/08/2020

Aliyekuwa C.E.o wa simba rasmi amejiunga na Yanga Mara baada ya kujiuzulu simba

Deal done Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto wa Police Tanzania  yassin Mustafa kwa mkataba wa miaka...
01/08/2020

Deal done
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto wa Police Tanzania yassin Mustafa kwa mkataba wa miaka miwili

Deal doneKlabu ya yanga imekamilisha usajili wa beki kisiki wa Coast Union Bakary Nondo Mwamnyeto kwa mkataba wa miaka m...
01/08/2020

Deal done
Klabu ya yanga imekamilisha usajili wa beki kisiki wa Coast Union Bakary Nondo Mwamnyeto kwa mkataba wa miaka miwili

Deal done Azam imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Rwanda Ally Niyonzima kwa miaka miwili Mara ba...
01/08/2020

Deal done
Azam imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Rwanda Ally Niyonzima kwa miaka miwili Mara baada ya kumaliza mkataba na Rayol sport ya Rwanda

Deal doneKlabu ya Yanga imemsajili kiungo wa kagera sugar Zawad peter mauya
31/07/2020

Deal done
Klabu ya Yanga imemsajili kiungo wa kagera sugar Zawad peter mauya

Deal doneKlabu ya Yanga sc imemsajili golikipa wa Kagera sugar Ramadhan chalamanda
31/07/2020

Deal done
Klabu ya Yanga sc imemsajili golikipa wa Kagera sugar Ramadhan chalamanda

Klabu ya Yanga sc ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Kmc Kelvin Kijiri
31/07/2020

Klabu ya Yanga sc ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Kmc Kelvin Kijiri

Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Lipuli  David Kameta
31/07/2020

Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Lipuli David Kameta

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255682615675

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkomboz sport news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share