PBA sports

PBA sports karibu Pba sports
utapata taarifa ;
kuhusiana Na masuala mbalimbali ya soka🔥🔥
Tetesi Za usajili
uchambuzi . Kwa mawasiliano; 0766721290

Usiku wa ligi ya mabingwa barani ulaya hii Leo kwenye Robo fainali 🔥🔥 Real Madrid v Bayern Munchen Sporting CP v Arsenal...
07/04/2026

Usiku wa ligi ya mabingwa barani ulaya hii Leo kwenye Robo fainali 🔥🔥

Real Madrid v Bayern Munchen

Sporting CP v Arsenal

Mechi zote zinachezwa majira ya saa nne usiku

INAELEZWA KUWA Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya matajiri wa Dar Es Salaam klabu Azam dhidi ya Wananchi klabu ya Yanga im...
09/03/2026

INAELEZWA KUWA Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya matajiri wa Dar Es Salaam klabu Azam dhidi ya Wananchi klabu ya Yanga imerejeshwa Benjamin Mkapa

Mechi itachezwa Jumapili hii Machi 15, 2026.

❤️🤍🇨🇴 Luis Díaz amefikisha mabao 20 na kutoa asisti 16 akiwa na FC Bayern Munich katika mashindano yote kwenye msimu wak...
07/03/2026

❤️🤍🇨🇴 Luis Díaz amefikisha mabao 20 na kutoa asisti 16 akiwa na FC Bayern Munich katika mashindano yote kwenye msimu wake wa kwanza klabuni hapo.

Goli kipa wa Singida Black stars Na timu ya taifa ya Nigeria , Amas Abasogie amekutwa Hana hatia baada ya uchunguzi kufa...
07/03/2026

Goli kipa wa Singida Black stars Na timu ya taifa ya Nigeria , Amas Abasogie amekutwa Hana hatia baada ya uchunguzi kufanyika Kwa madai ya kuwa alikua anahusishwa Na upangaji wa matokeo Na Sasa rasmi atarudi kikosi

Wakali wa clean sheets Hadi sasa
06/03/2026

Wakali wa clean sheets Hadi sasa

Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ( TPLB ) katika kikao chake cha Machi 4,20...
06/03/2026

Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ( TPLB ) katika kikao chake cha Machi 4,2026 ilipitia mwendendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo

Mechi Namba 054: Young Africans SC 0-0 Simba SC

Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la kuingia kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar kupitia mlango usio rasmi kuelekea mchezo tajwa hapo juu Machi Mosi, 2026, kinyume na matakwa ya kanuni ya 17:21 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye uwanja wa Amaan, ambapo walitumia chumba cha kufanyia mikutano ya Wanahabari kwa shughuli hiyo kabla ya kuanza mchezo, kinyume na matakwa ya kanuni ya 17:20 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

Ratiba ya michezo ya hatua ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
06/03/2026

Ratiba ya michezo ya hatua ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025/2026

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza Baada ya mchezo wa jana ambao Crystal Palace alimfunga Tottenham Hotspur goli 3 kwa 1
06/03/2026

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza Baada ya mchezo wa jana ambao Crystal Palace alimfunga Tottenham Hotspur goli 3 kwa 1

Wakali wa mapishj ya mabao 🔥🔥🔥⚽
05/03/2026

Wakali wa mapishj ya mabao 🔥🔥🔥⚽

Kiungo wa Klabu ya Singida Black Stars, Khalid Aucho ameomba radhi baada ya hivi karibuni klabu yake ya Singida Black St...
05/03/2026

Kiungo wa Klabu ya Singida Black Stars, Khalid Aucho ameomba radhi baada ya hivi karibuni klabu yake ya Singida Black Stars Kutoa taarifa ya kumsimamisha kwa muda wa miezi mitatu kwa kosa la utovu wa nidhamu wa kutoroka kazini.

Mwanzo wa Allan Okello katika klabu ya Young Africans SC umekuwa wa kusuasua:Mechi 9Magoli 0Asisti 1Mashabiki wataendele...
04/03/2026

Mwanzo wa Allan Okello katika klabu ya Young Africans SC umekuwa wa kusuasua:

Mechi 9
Magoli 0
Asisti 1

Mashabiki wataendelea kuwa na matumaini kwamba ataingia kwenye kiwango chake halisi hivi karibuni na kuanza kuonyesha uwezo wake mkubwa uwanjani. 💚💛

Matokeo ya EPL usiku huuBrighton 0 v Arsenal 1 Aston villa 1 v Chelsea 4Man city 2  v Nottingham 2Fulham 0 v West ham 1 ...
04/03/2026

Matokeo ya EPL usiku huu

Brighton 0 v Arsenal 1

Aston villa 1 v Chelsea 4

Man city 2 v Nottingham 2

Fulham 0 v West ham 1

Newcastle 1 vs Man U 1 ( mechi inaendalea dakk55)

Address

Godfreycharles0111@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PBA sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category