Msongola uinjilisti choir

Msongola uinjilisti choir katibu katika page yetu ili tupate kujifunza neno la mungu kwa njia ya uimbaji

ANGAZA UINJILISTI CHOIR ni jina la channel yetu ingia YouTube sasa upate KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI kungoja albam hii ...
16/11/2021

ANGAZA UINJILISTI CHOIR ni jina la channel yetu ingia YouTube sasa upate KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI kungoja albam hii itaachowa ndani ya masaa 24

06/11/2021

NI VIDEO YA WIMBO WETU WA KIDOGO KIDOGO KUTOKA KWAYA YETU YA UINJILISTI ANGAZA YA KKKT MSONGOLA.KARIBU SANA KATIKA CHANNEL YETU YA YOUTUBE UPATE KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU KWA KUGUSA LINK HII CHINI
https://youtu.be/8K__WzMOVlA

Hayawi hayawi sasa yamekuwa,mtu wa Mungu karibu Sana pia tembelea channel yetu ya YOUTUBE upate KUSUBSCRIBE NA KUSHAREht...
26/09/2021

Hayawi hayawi sasa yamekuwa,mtu wa Mungu karibu Sana pia tembelea channel yetu ya YOUTUBE upate KUSUBSCRIBE NA KUSHARE
https://youtu.be/JUoqotd0Xy8

https://youtu.be/D5ZhPfLcSKo GUSA link hiyo juu ILI upate sikiliza wimbo mpya kutoka KWAYA YA uinjilist msongola.K**A UL...
29/06/2021

https://youtu.be/D5ZhPfLcSKo

GUSA link hiyo juu ILI upate sikiliza wimbo mpya kutoka KWAYA YA uinjilist msongola.

K**A ULIKUWA HUJASUBSCRIBE TAFADHALI SUBSCRIBE ILI UTUUNGE MKONO ,MUNGU AKUBARIKI

KARIBU kusikiliza wimbo wetu kutoka kwaya ya uinjilist msongola,Song, JITAHIDINIChoir, msongola uinjilistAlbum, AMANILin...
27/05/2021

KARIBU kusikiliza wimbo wetu kutoka kwaya ya uinjilist msongola,
Song, JITAHIDINI
Choir, msongola uinjilist
Album, AMANI

Link, https://youtu.be/DbReMCjTiA0

Please subscribe,share,and comment

Ndugu wapendwa, katika dunia hii tiliyopo sasa yatupasa tujitahidi sana kutenda mema,kwani dunia hii tulionayo tumezungukwa na mabaya.mengi sana.

YouTube.com/channel/UCupXTdTxOWDdRf7W83wLPxQ GUSA link ili uweze kujionea IGIZO LA mateso ya yesu LILILOIGIZWA NA VIJANA...
01/04/2021

YouTube.com/channel/UCupXTdTxOWDdRf7W83wLPxQ

GUSA link ili uweze kujionea IGIZO LA mateso ya yesu LILILOIGIZWA NA VIJANA,KARIBU SANA

YouTube.com/channel/UCupXTdTxOWDdRf7W83wLPxQLink. Hii itakupeleka moja kwa moja kwa channel yetu ya YouTube ili utazame ...
18/01/2021

YouTube.com/channel/UCupXTdTxOWDdRf7W83wLPxQ

Link. Hii itakupeleka moja kwa moja kwa channel yetu ya YouTube ili utazame na kusikiliza nyimbo mpya

Roho mtakatifu akuongoze
15/01/2021

Roho mtakatifu akuongoze

Msongola uinjilisti choirAMANI na UPENDOnjoo YouTube ili isikie wimbo wetu wa AMANI
12/01/2021

Msongola uinjilisti choir
AMANI na UPENDO
njoo YouTube ili isikie wimbo wetu wa AMANI

msongola uinjilisti choirSONG,AMANIWATANZANIA tunatakiwa kuilinda sana AMANI tulionayo kwani tukiipoteza tutakuwa watu was kulandalanda kutafuta sehemu ya AM...

Address

Msongola
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msongola uinjilisti choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Msongola uinjilisti choir:

Share