Johnson Mtenga

Johnson Mtenga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Johnson Mtenga, Sports, Dar es Salaam.

08/12/2020

Tetesi ๐Ÿ”ด โšช

Klabu Ya Pyramids Ya Nchini Misri imeripotiwa Kumfuatilia Winga Wa Simba SC Luiz Jose Miquissone,25 Kwa nia Ya Kumsajiri.

Luiz kwa Sasa anakadiriwa Kuwa Na Thamani Ya Bilioni 2 ambayo Ni sawa na Thamani ya Clatous Chama...
Kwa Tetesi Kibao Za Soka Gonga Link Hiiiii๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Sports Tetesi

Rekodi za Morisoni  Goli OAsisiti 1 (Kwa Mbinde)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kutaka Kupigana mara 1Kustawisha Ndevu mara 1OKuPost Instagram Mara 96...
21/10/2020

Rekodi za Morisoni

Goli O
Asisiti 1 (Kwa Mbinde)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kutaka Kupigana mara 1
Kustawisha Ndevu mara 1O
KuPost Instagram Mara 96

Hongereni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwahiyo  ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mnavaa Suti Zenu na Raba Lini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸธNinasikia GSM amezichukua amezihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Mwakani Te...
21/10/2020

Kwahiyo ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mnavaa Suti Zenu na Raba Lini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿธ

Ninasikia GSM amezichukua amezihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Mwakani Tena Kwenye Siku ya Mwananchi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿธ๐Ÿธ

Kipindi kile Kuku Kishingo alipigwa na Kagere Bonge la Mbichwaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ndo Maana Siku Hizi Kagere anapangwa Kwenye Kila kikosi...
16/10/2020

Kipindi kile Kuku Kishingo alipigwa na Kagere Bonge la Mbichwaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ndo Maana Siku Hizi Kagere anapangwa Kwenye Kila kikosi cha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Utambulishaji K**a Huu Upo  ๐Ÿธ๐Ÿธ Tu Yaani Dunia Nzima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wewe Uliona wapi Jezi Moja inashikiliwa na Watu 2O๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
16/10/2020

Utambulishaji K**a Huu Upo ๐Ÿธ๐Ÿธ Tu Yaani Dunia Nzima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wewe Uliona wapi Jezi Moja inashikiliwa na Watu 2O๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Carlinhos ana Mwezi Mmoja 1 Tu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ hapa Bongo lakini Tayari amefahamiana na Mastaa Kibao.Hadi Wema Sepetu ameanza Kujipend...
16/10/2020

Carlinhos ana Mwezi Mmoja 1 Tu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ hapa Bongo lakini Tayari amefahamiana na Mastaa Kibao.Hadi Wema Sepetu ameanza Kujipendekeza๐Ÿ˜‚

Lakini Chama Clatous ana Miaka 7 Yupo Bongo lakini Sisi Mastaa Hatuna Hata Mda nae๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ–๐Ÿ–

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Johnson Mtenga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category