Michezo Live

Michezo Live PATA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI
GET SPORTS AND ENTERTAINMENT NEWS

WAZUNGU NDIO TUNAIFANYA HII NCHI IENDELEE KUWEPO, HAKUNA MNACHOJUA ZAIDI ULEVI, WIZI NA UZINZIKauli kutoka kwa mkazi wa ...
02/07/2026

WAZUNGU NDIO TUNAIFANYA HII NCHI IENDELEE KUWEPO, HAKUNA MNACHOJUA ZAIDI ULEVI, WIZI NA UZINZI

Kauli kutoka kwa mkazi wa Afrika Kusini mwenye asili ya Ulaya akiwalenga waafrika Kusini weusi.

Kwa ufupi tu hii ni sehemu ya tafsiri ya anachokisema huyo Kaburu hapo ambao ndio wanaomiliki zaidi ya 80% ya ardhi ya Afrika Kusini.

"Naona kuna Waafrika Kusini weusi wengi wanataka kuwafukuza Wazungu pia hapa Afrika Kusini. Nilikuwa najua kwamba nyinyi ni wajinga, lakini sikuwahi kujua kwamba ni wajinga kwa kiwango hicho. Mzungu ndiye jamii pekee inayochangia kuiweka nchi hii hai. Mkifukuza Wazungu kutoka Afrika Kusini, nawahakikishia sasa hivi kwamba hamtakuwa k**a Zimbabwe tu, mtakuwa vibaya zaidi kuliko Zimbabwe.

Msiwasikilize hao wapumbavu wanaosema wanataka kufukuza kila mtu. Nafikiri labda umefika wakati wa wazungu wa Wamalawi, Wazimbabwe na watu wengine wote wasio na hatia Labda sisi ndio tuwafukuze nyinyi mrudi baharini.

Kwa sababu mnadhani nchi hii ni yenu peke yenu. Hapana, kaka yangu au dada yangu. Nchi hii ni ya kila mtu anayeishi Afrika Kusini na anayechangia kuifanya iwe mahali pazuri zaidi. Lakini k**a unachangia kuifanya Afrika Kusini iwe mahali pabaya zaidi, basi sisi ndio tunapaswa kukufukuza.

Mnachojua kufanya ni maandamano tu. 'Sina furaha, nitaandamana, nitapinga...' Lakini hamjui kufanya kazi. Hamjui jinsi ya kuboresha mambo. Kila mara mnapomwona mtu anafanikiwa kuwazidi, mnataka kumfukuza. Kwa sababu mnajua kwamba watu kutoka nchi nyingine wanaofanya kazi Afrika Kusini wanafanya kazi zao vizuri zaidi kuliko ambavyo baadhi yenu mnafanya.

Mnachoweza ni kulala na wanawake, kunywa pombe, kuiba na kuharibu. Hamtaki kujenga."

Chanzo: SiasaTz

AMEANDIKA C.E.O WA SIMBA ZUBEDA SAKURU "Tuna kila sababu ya kunyanyua nyuso zetu:1. Wachezaji, Benchi la Ufundi: Mmeipa ...
02/07/2026

AMEANDIKA C.E.O WA SIMBA ZUBEDA SAKURU

"Tuna kila sababu ya kunyanyua nyuso zetu:

1. Wachezaji, Benchi la Ufundi: Mmeipa heshima jezi yetu kwa kujituma kwenu nyakati zote. Tumeona machozi, jasho na damu.

2. Mmepambana ndani ya uwanja na kila mtu ameshuhudia nidhamu yenu katika kushinda mechi zetu kwa ustadi, weledi.

3. Hata mlipopoteza michezo katika mazingira ambayo hatukustahili, mlikaa na maumivu ya pamoja.

4. Mpira sio nje ya mpira, mpira ni ushindani wenye mizania; mmeonesha ukubwa.

5. Mmeweza kudharau vikwazo (DEFY THE ODDS)!

6. Hakuna marefu yasiyo na ncha.

KWETU, MMESHINDA KWA HESHIMA "

16 Round FIFA WORLD CUP
02/07/2026

16 Round FIFA WORLD CUP

🚨 Which of these Greatest Of All Time will go home first? Messi or Ronaldo? βš½πŸ†βœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ
02/07/2026

🚨 Which of these Greatest Of All Time will go home first? Messi or Ronaldo? βš½πŸ†βœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ

02/07/2026
Nani wife material hapo A au B 😍
02/07/2026

Nani wife material hapo A au B 😍

Kitu new
02/07/2026

Kitu new

Special
02/07/2026

Special

World 🌎 Cup FIFA 2026
02/07/2026

World 🌎 Cup FIFA 2026

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share