11/06/2026
Glyphosate pekee inatosha kuzuia amino acids kufyozwa na mwili wako.
Haijalishi utakula protini Kiasi gani as long as utaambatanisha na hiyo kemikali, huna nutrients utapata kutoka kwenye hiyo protini.
Hawa wanafunzi wangu Hawa...!!
K**a umeamua kula chapati kula chapati bila kujieleza sana ila usidhani kuambatanisha chakula sahihi na chakula ambayo sio Sahihi kitahalalisha hicho chakula kuwa sahihi.
Anyway, kujiunga na program zangu za kupungua uzito, diet ama mazoezi nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800