nolly one

nolly one media personality || For Football

🚨 NYIEEEEEEE KWANI ALIYEKO PEMBENI YA MESSI NI NANI TENAAAAAA....???NB: K**a unamjua mtaje 🙌
04/09/2026

🚨 NYIEEEEEEE KWANI ALIYEKO PEMBENI YA MESSI NI NANI TENAAAAAA....???

NB: K**a unamjua mtaje 🙌

03/09/2026

Coach Steve Barker

Mwanasimba Neno moja kwa CHILAMBOOOOO
02/09/2026

Mwanasimba Neno moja kwa CHILAMBOOOOO

🔥 KOCHA STEVE BARKER, HATUA ZIMEANZA! 🔥 ★Mechi 5️⃣— Ushindi 5️⃣ 🏆 • Hakuna sare, hakuna kufungwa! STEVE BARKER ameanza s...
02/09/2026

🔥 KOCHA STEVE BARKER, HATUA ZIMEANZA! 🔥

★Mechi 5️⃣— Ushindi 5️⃣ 🏆
• Hakuna sare, hakuna kufungwa! STEVE BARKER ameanza safari yake SIMBA SPORTS CLUB kwa kishindo, akionesha utulivu, nidhamu na kiu ya ushindi.⚪️

• Kazi bado ni ndefu, lakini mwanzo huu unatupa sababu ya kuamini Mazuri zaidi! 🦁🔥

• Hongera Kocha, endelea kuipeleka SIMBA SPORTS CLUB juu! ❤️🤍

NB: CONGRATULATIONS ONCE AGAIN stevenrobert_barker 🙌

🟥 Takwimu za Libasse Gueye kwa mwezi Agosti kwenye Ligi kuuMechi 5️⃣Goli 1️⃣Pasi za mwisho 5️⃣Mchezaji bora wa mchezo 3️...
01/09/2026

🟥 Takwimu za Libasse Gueye kwa mwezi Agosti kwenye Ligi kuu
Mechi 5️⃣
Goli 1️⃣
Pasi za mwisho 5️⃣
Mchezaji bora wa mchezo 3️⃣

🚨Kikosi Bora cha Mwezi Agosti (August Team of the Month):Mfumo wa 4-3-3! 🌟📅⚽📊 Mwezi wa Agosti umekamilika kwa msisimko m...
01/09/2026

🚨Kikosi Bora cha Mwezi Agosti (August Team of the Month):

Mfumo wa 4-3-3! 🌟📅⚽📊 Mwezi wa Agosti umekamilika kwa msisimko mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC! Baada ya tathmini ya kina ya takwimu za mechi zote, hawa hapa wateule 11 walioonyesha kiwango bora na chenye muendelezo wa juu zaidi (Average Rating) mwezi huu: Vipengele vya Mwezi Agosti

👑 Mfalme wa Agosti (8.5 AVG): "Libasse Gueye" (Simba SC) anaingia kikosini akiwa mchezaji mwenye wastani wa juu zaidi wa kiwango mwezi huu mzima!

NB: Hasitokee mtu akajaribu kumfananisha Libasse na Takataka🛃

We hans husitake kunichanganya na uchambuzi wako, sasa mtu kacheza mechi 5 zote ame assist na kashinda Goli alafu unatak...
01/09/2026

We hans husitake kunichanganya na uchambuzi wako, sasa mtu kacheza mechi 5 zote ame assist na kashinda Goli alafu unataka kunafanisha na vitu vya ajabu😏. 🛃

01/09/2026

Huyu Nathan Chilambo mbona k**a kachelewa kuja simba jmn🙂‍↔️

Address

Dar Es Salaam
11101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nolly one posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share