DAMMY TV

DAMMY TV KARIBU KATIKA UKURASA RASMI WA πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†…
πŸ“Ί HABARI β€’ BURUDANI β€’ TRENDING
πŸ“° UPDATES KALI KILA SIKU.. FOLLOW US USIPITWE NA CHOCHOTE

19/08/2026

Goli la Mchezaji wa Namungo Lililoipa Ushindi Namungo wa Goli moja kwa Bila Dhidi ya Geita gold...Unalionaje???

17/08/2026

Uwanja mpya wa Samia Arusha stadium ulipofikia UNAUONAJE???

Follow πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†… kwa habari Kem Kem...

16/08/2026

Ila watuπŸ™ŒπŸ˜

15/07/2026

Chuki Zinaweza kukufanya ukose Raha Nisamehe Lionel Messi...

Naitwa πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ††πŸ…ΈπŸ†‰πŸ†‰πŸ†ˆ

06/07/2026

Ndoto ya ya kutwaa imefikia tamati baada ya kuondolewa na kwa mabao 1-0 katika hatua ya 16 bora. Akiwa na miaka 41, Ronaldo amethibitisha kuwa huu ulikuwa ni Kombe lake la mwisho la Dunia.

Licha ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao katika matoleo sita tofauti ya Kombe la Dunia (2006–2026), hakufanikiwa kutwaa taji hilo. Kabla ya hapo, aliumia pia mwaka 2022 baada ya Portugal kuondolewa na katika robo fainali, tukio lililoambatana na picha yake akilia baada ya mchezo.

Ronaldo anaondoka kwenye historia ya Kombe la Dunia akiwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi, lakini bila kutimiza ndoto yake ya kubeba ubingwa wa dunia....

Follow πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ††πŸ…ΈπŸ†‰πŸ†‰πŸ†ˆ πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†… ..

06/07/2026

Hispania 1 - 0 Ureno: Goli la ushindi lilifungwa na Mikel Merino katika dakika ya 91 (muda wa nyongeza wa kipindi cha pili), na kuwavusha Hispania kuelekea robo fainali...

Follow πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ††πŸ…ΈπŸ†‰πŸ†‰πŸ†ˆ na πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†…

06/07/2026

England yatinga robo fainali kwa ushindi wa kishujaa dhidi ya Mexico
England imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mexico katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Estadio Azteca.
Jude Bellingham alikuwa nyota wa mchezo kwa kufunga mabao mawili ya haraka kabla ya Harry Kane kuongeza bao la tatu kwa njia ya penalti. Mexico walijibu kupitia JuliΓ‘n QuiΓ±ones na RaΓΊl JimΓ©nez, huku England ikimaliza mchezo ikiwa na wachezaji 10 baada ya Jarell Quansah kupewa kadi nyekundu.
Licha ya presha kubwa kutoka kwa Mexico katika dakika za mwisho, England ilisimama imara na kufuzu robo fainali, ambapo sasa itakutana na Norway Julai 11, 2026....

Follow πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ††πŸ…ΈπŸ†‰πŸ†‰πŸ†ˆ wa πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†…

05/07/2026

Viking Celebration....πŸ™ŒπŸ”₯......















..Follow πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ††πŸ…ΈπŸ†‰πŸ†‰πŸ†ˆ πŸ…³πŸ…°πŸ…ΌπŸ…ΌπŸ†ˆ πŸ†ƒπŸ†…

05/07/2026

Address

P. O. Box 705 Mabibo Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAMMY TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category