Simba Sc Strong Fans

Simba Sc  Strong Fans hili ni group la habar za michezo tu

haturuhusu. siasa. dini. wala ukabila haturuhusu

Unamuonaje mwalimu    anastahiki au tumepigwa  konz la utosi ?
18/01/2023

Unamuonaje mwalimu anastahiki au tumepigwa konz la utosi ?

Operation  bakisha  bocco🙏Ni wakati wa wana simba  kumpa heshima  captain wetu    tumepigana nae vita kwenye nyakati zot...
25/08/2022

Operation bakisha bocco🙏

Ni wakati wa wana simba kumpa heshima captain wetu tumepigana nae vita kwenye nyakati zote za furaha na huzuni tusikubali bocco aende popote ulipo mwana simba share picha ya bocco na ukiambatanisaha na neno bakisha bocco

Inonga  aache  ujinga  anacheza sana na majukwaa  anatucost   pia akubal kutumwa na ottara
14/08/2022

Inonga aache ujinga anacheza sana na majukwaa anatucost pia akubal kutumwa na ottara

Mwalimu  angejaribu  kutengeneza  pacha ya  mamadou  ottara    na onyango      inanga  anacheza sana  na majukwaa  inatu...
14/08/2022

Mwalimu angejaribu kutengeneza pacha ya mamadou ottara na onyango inanga anacheza sana na majukwaa inatucost sana

Ya jana  yameisha  kiukweli  tunapitia nyakati ngumu   nyakati ambazo busara na uvumilivu  vinahitajika   ila ni nyakati...
14/08/2022

Ya jana yameisha kiukweli tunapitia nyakati ngumu nyakati ambazo busara na uvumilivu vinahitajika ila ni nyakati chafu tu hazitodumu milele simba nguvu moja

30/06/2022

wapenz wapendwa wanasimba sorry kwa kupotea hewani muda mrefu so tunarudi kwa pindi kwa habari motomoto za michezo haswa club yetu pendwa ya mnyama usikae mbali

Address

Ununio
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Sc Strong Fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simba Sc Strong Fans:

Share