Simba would updates

Simba would updates ukurasa huu upokwaajili ya kutoa taarifa za simba sc

“Sisi tunapenda ushirikiano na wanachama pamoja na mashabiki ndio maana hata kukosolewa tunapenda lakini lugha itumike y...
26/06/2023

“Sisi tunapenda ushirikiano na wanachama pamoja na mashabiki ndio maana hata kukosolewa tunapenda lakini lugha itumike ya staha kwakuwa isipokuwa hivyo huwa tunajisikia vibaya k**a binadamu,’

MURTAZA MUNGUNGU, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

Kesho yetu nzuri tunaijenga pamoja.Tuendelee kushirikiana tukiamini katika  ndio msingi wa mafanikio yetu✊🏼
26/06/2023

Kesho yetu nzuri tunaijenga pamoja.
Tuendelee kushirikiana tukiamini katika
ndio msingi wa mafanikio yetu✊🏼

🚨💬 EXCLUSIVE: SIMBA SC NI TIMU YA MAISHA YANGU🗣️ "Simba naipenda hata K**a ntakuwa Timu nyingine Simba Nitimu ya maisha ...
26/06/2023

🚨💬 EXCLUSIVE: SIMBA SC NI TIMU YA MAISHA YANGU

🗣️ "Simba naipenda hata K**a ntakuwa Timu nyingine Simba Nitimu ya maisha yangu IPO SIKU ntarudi Simba K**a mchezaji Ama kiongozi Ama shabiki ama Mwanachama" - Jonas Mkude

26/06/2023

Simba tunachukua kombe m simu ujao Nani anaunga mkono hili wazo comment apo 👇👇👇

SIMBA BABA LAO CAF KWA MKWANJA🚨Simba aliishia Robo fainal ya kombe la club bingwa Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 650,0...
10/06/2023

SIMBA BABA LAO CAF KWA MKWANJA

🚨Simba aliishia Robo fainal ya kombe la club bingwa Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 650,000 sawa na TSH 1,524,250,000/- (bilioni moja milioni mia tano ishirini na nne na laki mbili na hamsini tu)

🚨Yanga alimaliza nafasi ya Pili ya kombe la shirikisho barani Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 625,000 Sawa na Tsh.1,465,625,000(Bilioni moja milioni mianne sitini na tano na laki sita na ishirini na tano elfu tu

Kwa maana hiyo Simba SC kaizidi Yanga kiasi Cha USD 25,000/ Sawa na TSH.58,625,000/(milioni hamsini na nane laki sita na ishirini na tano elfu tu) hata wakiuza 🏅 zao zote hazitaweza kufikia kiasi hicho hivyo Simba SC kachukua (MPUNGA/MKWANJA,PESA) mkubwa mno

🏅 Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwe...
10/06/2023

🏅 Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Mei, 2023;
🇨🇩 Henock Inonga
🇧🇮 Saidi Ntibazonkiza
🇹🇿 Shomari Kapombe

Tembelea tovuti yetu ya simbasc.co.tz ili kupiga kura.

Unastahili hili 👏Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23, Saidi Ntibazonkiza.
10/06/2023

Unastahili hili 👏

Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23, Saidi Ntibazonkiza.

Mwamba huyu hapa
10/06/2023

Mwamba huyu hapa

03/02/2023
03/02/2023


Address

+255765104770
Dar Es Salaam
HTTPS://WWW.FACEBOOK.COM/100084527869219/POSTS/108462161981379/?FLITE=SCWSPNSS

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba would updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share