Yobu Yanga African fun

Yobu Yanga African fun content creator

Siku ya pili ya maandalizi BotswanaπŸ”°πŸ’ͺ🏽
04/09/2026

Siku ya pili ya maandalizi BotswanaπŸ”°πŸ’ͺ🏽


πŸš¨πŸ’£ 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: LOEMBA INNO AITWA TIMU YA TAIFA πŸ‡¨πŸ‡¬πŸ‡ΉπŸ‡ΏKiungo wa Simba SC, Loemba Inno, ameitwa kwenye kikosi cha Congo πŸ‡¨πŸ‡¬ kwa ...
04/09/2026

πŸš¨πŸ’£ 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: LOEMBA INNO AITWA TIMU YA TAIFA πŸ‡¨πŸ‡¬πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kiungo wa Simba SC, Loemba Inno, ameitwa kwenye kikosi cha Congo πŸ‡¨πŸ‡¬ kwa ajili ya mechi za kufuzu AFCON 2027.

πŸ‡¨πŸ‡¬ Congo itacheza dhidi ya Namibia πŸ‡³πŸ‡¦ na Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² mwezi huu.

πŸ”₯ Hongera Loemba Inno kwa kuitwa kwenye Taifa Stars ya Congo! 🦁

 | Wananchi Yanga SC wanaanzia ugenini kwenye CAF Champions League kwa kibarua dhidi ya Gaborone United katika mtanange ...
03/09/2026

| Wananchi Yanga SC wanaanzia ugenini kwenye CAF Champions League kwa kibarua dhidi ya Gaborone United katika mtanange wa kuwania nafasi nzuri kwenye hatua za awali.

πŸ“… Jumamosi, Septemba 5, 2026
πŸ•‘ Saa 2:00 Usiku
πŸ“Ί Azam Sports 2 HD

03/09/2026

Nimoto juu ya moto

Wananchi Kwenye Mtoko wa Dunia🌍
03/09/2026

Wananchi Kwenye Mtoko wa Dunia🌍

03/09/2026

*Here we go.*

> Young Africans Sports Club, the most decorated football club in Tanzania - East Africa presents the CAF Champions League 26/27 Kit

πŸš¨πŸ’£Jezi za Yanga SC za nyumbani 🟒, Ugenini 🟑 na jezi ya tatu (third kit) ⚫ kuelekea msimu huu wa mashindano ya CAF Champi...
03/09/2026

πŸš¨πŸ’£Jezi za Yanga SC za nyumbani 🟒, Ugenini 🟑 na jezi ya tatu (third kit) ⚫ kuelekea msimu huu wa mashindano ya CAF Champions League πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘•

Unaona U*i gani ni mkali zaidi? πŸ‘€πŸ‘‡

03/09/2026

Hizi hapa jezi za kimataifa za yanga

Wanaoongoza kwa kufunga magori ya penati..
02/09/2026

Wanaoongoza kwa kufunga magori ya penati..

πŸš¨πŸš¨πŸ’£πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Nyota wa zamani wa Simba na TRA united,Valentino Nouma(26),amejiunga na klabu ya Tishreen SC ya Syria kwa ...
02/09/2026

πŸš¨πŸš¨πŸ’£πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Nyota wa zamani wa Simba na TRA united,Valentino Nouma(26),amejiunga na klabu ya Tishreen SC ya Syria kwa miaka miwili.

Nouma amejiunga na timu hiyo k**a mchezaji huru baada ya kuachana na TRA.

Nouma ni balaa jipya Syriaβœ…

Address

Zanzibar
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yobu Yanga African fun posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category