08/11/2025
π NAFASI ZA KAZI MPYA β ALAF TANZANIA π
Kiwanda cha ALAF Limited, kinachoongoza nchini katika utengenezaji wa mabati na vifaa vya ujenzi, kinatangaza nafasi 128 za ajira kwa Watanzania wote wenye nia na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii! πͺ
π§ Nafasi zinazopatikana:
Wasaidizi wa uzalishaji
Mafundi wa mitambo na umeme
Wafanyakazi wa ghala na usafirishaji
Wahandisi wa viwanda
Wauzaji na mawakala wa masoko
Wahasibu, maafisa rasilimali watu
Madereva na wasaidizi wa ofisi
β
Sifa kuu:
Umri: miaka 20 β 45
Elimu: angalau Kidato cha Nne (au zaidi kulingana na nafasi)
Uaminifu, uwajibikaji na uwezo wa kufanya kazi kwa timu
Uzoefu wa kazi viwandani utapewa kipaumbele
UNAWEZA KUTAZAMA LIVE MUDA HUU YOUTUBE
MANEGE WA ALAF TANZANIA ANAZUNGUMZA NAFASI ZA KAZI
ππ
https://youtu.be/NPt4Ili08aE
TAHADHALI,
USITOWE PESA ILI UPATIWE AJIRA NAFASI ZA KAZI
NI BURE π