SokaLetu

SokaLetu upate taarifa za
*Usajili
*Matokeo ya mechi
*Udaku wa kimichezo
*Sokaletu3.Blogspot.Com

๐Ÿšจ๐Ÿšจ BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m  (tsh 2,485,000,000) kutoka Espรฉrance Sportive de Tunis,ili kumpat...
10/08/2025

๐Ÿšจ๐Ÿšจ BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espรฉrance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.

De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila k**a watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.

Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.

Follow Usajili na hansrafael14

โ€œNiseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji.Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola M...
10/08/2025

โ€œNiseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji.Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000.Niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi.

"Walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi. Naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira. Wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duniโ€

- Jasmine Razack ambaye ni Msimamizi wa Clement Mzize akizungumza na Jembe FM. Follow na

10/08/2025
NBC Premier League leo JumapiliSaa 10:00 jioni, KMC watakuwa uwanja wa nyumbani KMC Complex wakicheza na Simba SCHii ni ...
11/05/2025

NBC Premier League leo Jumapili

Saa 10:00 jioni, KMC watakuwa uwanja wa nyumbani KMC Complex wakicheza na Simba SC

Hii ni mechi ya kwanza kwa Kocha Adam Mubesh kuiongoza KMC.

Je ataanza kwa ushindi ama mnyama kuendelea kugawa dozi?

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Vita ya ndugu moja ndani ya klabu hapa ndipo napenda kuona hii battle inaendelea hadi msimu unaisha..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
04/03/2025

Vita ya ndugu moja ndani ya klabu hapa ndipo napenda kuona hii battle inaendelea hadi msimu unaisha..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

  Wamepokonywa tonge mdomoni dakika za jiooooooooooooooโ€ฆ..!!!Sare ya pili mfululizo kwa Al Ittihad.... FT: Al Ittihad 1-...
02/03/2025

Wamepokonywa tonge mdomoni dakika za jiooooooooooooooโ€ฆ..!!!

Sare ya pili mfululizo kwa Al Ittihad....

FT: Al Ittihad 1-1 Al Okhdood

Naombeni utabiri wenu wa kikosi Cha Leo Cha Simba vs Namungo
19/02/2025

Naombeni utabiri wenu wa kikosi Cha Leo Cha Simba vs Namungo

16/02/2025

Hello guys

Ukiwa unaangalia mechi ni mtangazaji gani huwa unafurahia sana kumsikiliza....
30/01/2025

Ukiwa unaangalia mechi ni mtangazaji gani huwa unafurahia sana kumsikiliza....

18/01/2025

CAFCL/CAFCC: Tazama mtangazaji wa soka akitangaza goli la Stephane Azi Ki huku mtangazaji akishangilia pembeni mpaka amenyanyuka kwenye kiti.

Ni pashapasha kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya MC Alger na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kati ya Simba dhidi ya CS Constantine.

Hii ilikuwa ndani ya studio za .

Mechi ya Yanga ni Jumamosi saa 10:00 jioni LIVE

Mechi ya Simba ni Jumapili saa 10:00 jioni LIVE

(Picha na )

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokaLetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share