ozilsoccertv

ozilsoccertv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ozilsoccertv, Sports, Dar es Salaam.

T O THE SEMI FINAL๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชKlabu ya yanga sc imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya mchez...
30/04/2023

T O THE SEMI FINAL๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

Klabu ya yanga sc imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya mchezo wao wa leo kumalizika kwa sare ya bila kufungana wakicheza na klabu ya Rivers United

Ongera Sana yanga sc kwa kuandika historia mpya ya kutinga hata hii ya nusu fainali kila la kheri yanga Afrika kwenye mechi zilizobakia

Bado masaa machache tu kabla ya mechi ya vipers dhidi ya simba sc Nipe utabili wako sasa
25/02/2023

Bado masaa machache tu kabla ya mechi ya vipers dhidi ya simba sc

Nipe utabili wako sasa

Mchezo ulikuwa mgumu San lakini Young Africans Sports Club] ni timu kubwa Sana so kupitia Hilo wameonesha ukubwa wao mbe...
25/12/2022

Mchezo ulikuwa mgumu San lakini Young Africans Sports Club] ni timu kubwa Sana so kupitia Hilo wameonesha ukubwa wao mbele ya wanalambalamba

--------------------------------------------------------------
โœ๏ธKiukweli mpira waliocheza yanga leo ni wa kiwango Cha chini Sana kwasababu kuanzia kwenye nafasi ya viongo na mabeki wote walipotea

โœ๏ธNO FEISAL NO PROBLEM
Nimegundua kuwa feisal yeye ni mpenda Sana pesa na sio kukuza uwezo wake wa mpira na kuonekena mbali Zaidi

โœ๏ธ ni mtu sahihi kwasasa kuonesha uwezo wake na maajabu yake akiwa na hile JEZI yenye Mambo mengi naongelea namba 10

โœ๏ธPoint tatu (3) muhimu kwa Young Africans Sports Club]

โœ๏ธ anafikisha idadi ya mabao kumi na nne (14)

โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅYanga sc

Endelea kumfollow
Main sponsor

โœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธ ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Bado siku 18 kuelekea kwenye siku ya kuzaliwa ya CEO wetu wa manyinyi shop, ozilsoccertv na habaritvone si mwingine ni o...
12/10/2022

Bado siku 18 kuelekea kwenye siku ya kuzaliwa ya CEO wetu wa manyinyi shop, ozilsoccertv na habaritvone si mwingine ni officiaoziljraddo kila la kheri CEO

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ozilsoccertv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category