04/09/2025
Baada ya Rais wa heshima wa Simba Mo Dewji kumrejesha kundi Babra Gonzalez mashabiki wengi wa Simba wamefurahishwa na taarifa hiii .
atakuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi pale Simba enzi akiwa CEO wa timu hii watu wengi walivutiwa na Uongozi wake kwa sababu alikuwa ni mtu asiyependa Kona Kona ndani ya timu hiii .
Bila shaka urejeo wake unaenda kuleta kitu kipya ndani ya kikosi Cha Simba