Nard updates

Nard updates sports analysis

Chelsea dominate the list when it comes to players with the longest contracts in the top 5 leagues πŸ˜³πŸ“VIA TRANSFERMARKET
24/08/2024

Chelsea dominate the list when it comes to players with the longest contracts in the top 5 leagues πŸ˜³πŸ“
VIA TRANSFERMARKET

πŸ•› Moja ya utapeli mkubwa kwenye soka Follow us
24/08/2024

πŸ•› Moja ya utapeli mkubwa kwenye soka
Follow us

🚨Baada ya kocha wa Al Ahly Marcel Koller kusema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Percy Tau hayuko katika mipango yake, n...
24/08/2024

🚨Baada ya kocha wa Al Ahly Marcel Koller kusema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Percy Tau hayuko katika mipango yake, nyota huyo huenda akajiunga na Waydad Casablanca inayonolewa na kocha wake zamani Rhulani Mokwena.

Tau raia wa Afrika Kusini amekuwa na maisha magumu na kikosi hicho cha Mafarao wa Misri katika msimu huu uliomalizika hivi karibuni na kikosi hicho kuwa mabingwa.

Licha ya Waydad kuonesha nia ya kumuhitaji, lakini timu za Mamelodi Sundowns na Kaizer Chief za Afrika Kusini zinaiihitaji huduma ya nyota huyo.


πŸ”΅βšͺοΈπŸ‰ Samu Omorodion becomes new FC Porto player thanks to Villas-Boas mission after Chelsea deal off.β—‰ €15m for 50% of S...
24/08/2024

πŸ”΅βšͺοΈπŸ‰ Samu Omorodion becomes new FC Porto player thanks to Villas-Boas mission after Chelsea deal off.

β—‰ €15m for 50% of Samu, AtlΓ©ti own 50%.
β—‰ Porto can buy 15% for €5m in 2025.
β—‰ Porto can buy another 15% for €5m in 2026.
β—‰ Contract until 2029, €100m release clause.
Source; fabrizo

Address

P. O Box 98, Chunya
Chunya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nard updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share