Hamida Esports

Hamida Esports H sports lady

๐Ÿšจ RATIBA YA MECHI YA LEO KOMBE LA DUNIA ALHAMIS JUNE 11 - 2026 IKO HIVI ๐Ÿฅฐ โšฝ ๐ŸŸ  22:00 - Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ โš”๏ธ South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
11/06/2026

๐Ÿšจ RATIBA YA MECHI YA LEO KOMBE LA DUNIA ALHAMIS JUNE 11 - 2026 IKO HIVI ๐Ÿฅฐ โšฝ

๐ŸŸ 22:00 - Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ โš”๏ธ South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

โœ…๏ธ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜:  Israel Mwenda Amekamilisha Tataribu Za Kujiunga Na Klabu Ya Sindiga Black Stars Kwa Mkataba Wa Miaka Miwil...
11/06/2026

โœ…๏ธ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Israel Mwenda Amekamilisha Tataribu Za Kujiunga Na Klabu Ya Sindiga Black Stars Kwa Mkataba Wa Miaka Miwili

Israel Patrick Anaondoka Yanga Baada Ya Kudumu Kwa Msimu Mmoja Na Nusu

Taarifa za Ndani Zinaeleza Kua Chanzo Kikubwa Cha Israel Mwenda Kuondoka Yanga Ni Baada Ya Mchezo Wa Derby Ya Kariakoo Kufanya Kosa Ambalo Simba Wakanufaika Kwa Kupata Bao La Libasse Gueye

Yanga Wanamtuhumu Mwenda Kuuza Mechi Ya Simba SC Tanzania

siwezi ishi bila wewe huu ni utapeli mkubwa mno๐Ÿ˜†
11/06/2026

siwezi ishi bila wewe
huu ni utapeli mkubwa mno๐Ÿ˜†

๐ŸšจKiungo wa Kimataifa wa Tanzania, mwenye kipaji na ari ya upambanaji mithili ya Chui nyikani, Alphonce Mabula Msanga. Mu...
11/06/2026

๐ŸšจKiungo wa Kimataifa wa Tanzania, mwenye kipaji na ari ya upambanaji mithili ya Chui nyikani, Alphonce Mabula Msanga. Muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa na Moja Kati ya klabu za soka barani Ulaya kutokana na jitihada za klabu mbalimbali kumuwania, tangu alipokataa kuongeza mkataba kunako klabu ya Shamakh ili kutafuta changamoto na klabu mpya za kumjenga zaidi kuisogelea ndoto yake...

Mabula (22) amekuwa na kiwango kinachoshawishi kiasi Cha kupelekea klabu k**a Kasimpasa kuingia vitani, lakini sasa wanachuana na klabu nyingine za hapohapo Uturuki na kutoka mataifa mengine.

๐Ÿšจ Baada ya kuachana na Yanga Israel Mwenda anatajwa viunga vya Singida Black Starsโœ…
11/06/2026

๐Ÿšจ Baada ya kuachana na Yanga Israel Mwenda anatajwa viunga vya Singida Black Starsโœ…

Tbt .. usijikatiee tamaa โœŒ๐Ÿฝila ujana wangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
11/06/2026

Tbt .. usijikatiee tamaa โœŒ๐Ÿฝila ujana wangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ JAMHURI KIHWELO "Mmi nachojua Yanga ina wachezaji wa kawaida sana na ina wachezaji watatu hatari tu, yule Pacome ni m...
10/06/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ JAMHURI KIHWELO "Mmi nachojua Yanga ina wachezaji wa kawaida sana na ina wachezaji watatu hatari tu, yule Pacome ni mzuri wa dribber, yule Mudathir ni mjanja sana na mwingine ni Okello ni hatari kwa pasi zake.. Mashujaa tukiweka wachezaji wa kazi hawatapita popote na mimi kocha mkuu wa Mashujaa FC naamini tunaweza kuwazuia vizuri sana".

๐Ÿšจ Kesho ndio Kombe la Dunia 2026 linaanza sasa ili tuchekane Vizuri taja taifa lako ambalo utakuwa unashabikia mimi k**a...
10/06/2026

๐Ÿšจ Kesho ndio Kombe la Dunia 2026 linaanza sasa ili tuchekane Vizuri taja taifa lako ambalo utakuwa unashabikia mimi k**a Bama nitashabikia Portugal We je utashabikia Taifa Gani? ๐Ÿ‘‡.

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—”

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Czechia
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—•

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ Bosnia & Herzegovina
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada
๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ Qatar
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Switzerland

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—–

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil
๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น Haiti
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Scotland

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐——

๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Paraguay
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Tรผrkiye
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—˜

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ผ Curaรงao
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Ecuador
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Cรดte d'Ivoire

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—™

๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Sweden
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—š

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—›

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป Cabo Verde
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Saudi Arabia
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Uruguay

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—œ

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Iraq
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austria
๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด Jordan

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—ž

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Colombia
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ DR Congo
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan

๐—š๐—ฅ๐—ข๐—จ๐—ฃ ๐—Ÿ

๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Croatia
๐Ÿด England
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฆ Panama

๐Ÿ†๐ŸŒ Wachezaji wenye asisti nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia:๐Ÿฅ‡ 10 - Pelรฉ๐Ÿฅˆ 8 - Lionel Messi๐Ÿฅˆ 8 - Diego Marado...
10/06/2026

๐Ÿ†๐ŸŒ Wachezaji wenye asisti nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia:

๐Ÿฅ‡ 10 - Pelรฉ
๐Ÿฅˆ 8 - Lionel Messi
๐Ÿฅˆ 8 - Diego Maradona

Je, Messi Anaweza Kuandika Historia Mpya? ๐Ÿ‘€๐Ÿฟ

Via: Fabrizio Romano

๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†:Yanga hawana mpango wa kuendelea na Chadrack Issaka Boka (26).Mkataba wa Boka na Yanga itaisha mwezi July na...
10/06/2026

๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†:Yanga hawana mpango wa kuendelea na Chadrack Issaka Boka (26).

Mkataba wa Boka na Yanga itaisha mwezi July na Yanga wanatafuta beki mpya wa kushoto.

Yes! Boka yuko kwenye list ya wachezaji ambao wataachwa na Yanga.

Address

157 MWANZA
Bariadi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamida Esports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share