Mpira Mtamu live

Mpira Mtamu live Mpira Live

FT’|   Young Africans SC 1πŸ†š0 St. George
18/09/2026

FT’|

Young Africans SC 1πŸ†š0 St. George


πŸ—£οΈ"Kenya mashabiki wa Simba ni wengi kushinda mashabiki wa Yanga, maana Simba ana sifa kubwa sana... Alipocheza katika f...
18/09/2026

πŸ—£οΈ"Kenya mashabiki wa Simba ni wengi kushinda mashabiki wa Yanga, maana Simba ana sifa kubwa sana...

Alipocheza katika fainali za bara Afrika wakati flani nyuma, kocha mkuu alikuwa Mkenya. Na ni historia ambayo labda Simba hawajaweza kuifanya tena.

Hivyo kuna ushabiki mkubwa sana wa Simba kule Nairobi na Wakenya wengi sana wanashabikia timu hii ya Simba"

-Shabiki na mdau wa soka kutokea nchini Kenya.

Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi πŸ—£οΈπŸ“’

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°πƒπ€π˜πŸ†š St. George πŸ—“ 18 Septemba 2026⏱️ Saa 12:00 Jioni🏟 Uhuru πŸ†
18/09/2026

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°πƒπ€π˜

πŸ†š St. George
πŸ—“ 18 Septemba 2026
⏱️ Saa 12:00 Jioni
🏟 Uhuru
πŸ†


‼️Inaelezwa Klabu ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imewasilisha barua ya kukata rufaa juu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa kiungo wao ...
18/09/2026

‼️Inaelezwa Klabu ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imewasilisha barua ya kukata rufaa juu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa kiungo wao Stephanie Aziz Ki πŸ‡§πŸ‡« kwani hakudhamilia kufanya kitendo hicho,

Young Africans mchezo ujao watakipiga dhidi ya Simba SC,

Ningekuwa Mimi TFF walikuwa wakuongeza adhabu pamoja na mchezaji wao,wanajikuta wao akina nani,juzi simba kachezewa rafu za kutosha mmesikia wapi simba inalalamika,hasa faulo za himid mao??? Utopolo acheni kulialia,lieni na kocha wenu,,πŸ˜‚

|| SIMBA SC ina nafasi kubwa ya kucheza na 15 de Agosto ya Guinea ya ikweta, Taifa hili la Afrika ya Kati liliandaa AFCO...
18/09/2026

|| SIMBA SC ina nafasi kubwa ya kucheza na 15 de Agosto ya Guinea ya ikweta, Taifa hili la Afrika ya Kati liliandaa AFCON 2021 & 2015 Baada ya Morocco kujitoa Ku host kutokana na Ebola.

Afcon hiyo taifa hili lilikua na viwanja vinne (pichani) ukiwemo uwanja mashuhuri wa BATA.

kwasasa hakuna uwanja hata mmoja nchini humo unaokidhi matakwa ya CAF ndiomaana hata mchezo wa Simba na 15 de Agosto utapigwa Cameroon.

Take ni nini? Mataifa mengi ya Afrika yanatumia nguvu kubwa kwenye kuandaa afcon finals ila maisha baada ya pale viwanja vinageuka mashamba.

Tujiandae na viwanja vyetu kwenye maisha baada ya Afcon.

Baada ya kichapo kikali cha Azam cha kufungwa magoli mawili na Simba wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani mchambuzi wa s...
18/09/2026

Baada ya kichapo kikali cha Azam cha kufungwa magoli mawili na Simba wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani mchambuzi wa soka Edoku ametoa maoni haya..

"Mnyama kaenda amekula Ice cream zote za Mzee Bakhresa.. Amewaacha wanashangaa tu. Ila Azam walishaanza kumletea Mnyama mazoea. Leo wameutafuta kwa tochi."

Beki wa kulia wa Simba SC, Nathaniel Chilambo, ameendelea kuonyesha kiwango bora na nidhamu kubwa ya mchezo katika eneo ...
17/09/2026

Beki wa kulia wa Simba SC, Nathaniel Chilambo, ameendelea kuonyesha kiwango bora na nidhamu kubwa ya mchezo katika eneo la ulinzi. Kutokana na uwezo wake wa kulinda na kushambulia kwa umakini, mashabiki wengi wanaona ndiye mrithi sahihi wa mikoba ya Shomari Kapombe katika eneo hilo.

Wanasimba huyu Chilambo apewe mikoba ya Kapombe...!!?

Simba SC right-back, Nathaniel Chilambo, continues to put on solid performances with high tactical discipline on the pitch. Following his consistency in defense and attack, many fans view him as the rightful successor to Shomari Kapombe's role.

πŸš¨πŸ’£π”ππƒπ€π“π„: πŸ¦πŸ”΄Simba SC haijapoteza mchezo wowote katika mechi 6 za NBC Premier League msimu wa 2026/27! πŸ”₯βœ… Azam FC 0️⃣–2️⃣...
17/09/2026

πŸš¨πŸ’£π”ππƒπ€π“π„: πŸ¦πŸ”΄

Simba SC haijapoteza mchezo wowote katika mechi 6 za NBC Premier League msimu wa 2026/27! πŸ”₯

βœ… Azam FC 0️⃣–2️⃣ Simba SC
βœ… Simba SC 2️⃣–0️⃣ Geita Gold
βœ… Simba SC 1️⃣–0️⃣ Coastal Union
βœ… Singida Black Stars 1️⃣–2️⃣ Simba SC
βœ… Pamba Jiji 1️⃣–2️⃣ Simba SC
βœ… Kagera Sugar 0️⃣–2️⃣ Simba SC

πŸ“Š Mechi 6 Ushindi 6 Pointi 18 Mabao 11–1 ⚽πŸ”₯

Wiki ya 6️⃣ ilikuwa ya β€˜moto’ sana πŸ”₯Mechi ipi ilikuvutia zaidi?Tanzania Football Federation NBC Premier League πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Nation...
17/09/2026

Wiki ya 6️⃣ ilikuwa ya β€˜moto’ sana πŸ”₯
Mechi ipi ilikuvutia zaidi?

Tanzania Football Federation NBC Premier League πŸ‡ΉπŸ‡Ώ National Bank of Commerce Azam Sports TBC DIGITAL JUST FIT SPORTS GEAR

🚨🚨🚨🚨🚨TUNAAAANZA UPYAAAAA!!! SEMA KIMEUUUMANA!!!πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’βš οΈ
17/09/2026

🚨🚨🚨🚨🚨TUNAAAANZA UPYAAAAA!!! SEMA KIMEUUUMANA!!!πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’βš οΈ

Address

157 Busega
Bariadi
39000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpira Mtamu live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share