29/08/2026
Hongera kwa Wanandoa Kanisa la FPCT GASWA PALISHI YA SAGATA.
Mungu awajenge katika upendo, awape amani, furaha na neema ya kudumu pamoja.
Upendo wenu uzidi kukua kila siku, na ndoa yenu ibarikiwe milele.