SIMBA YETU JAMII YETU

SIMBA YETU JAMII YETU SIMBA NI JAMII YA WATU WENYE NGUVU NA USHIRIKIANO MKUBWA WENYE KUPENDA AMANI,NA MATENDO MEMA

"Wachezaji wetu wanaendelea vizuri ukitoa Wilson Nangu ambaye taarifa ni kwamba mwishoni mwa wiki tutampeleka Afrika Kus...
12/02/2026

"Wachezaji wetu wanaendelea vizuri ukitoa Wilson Nangu ambaye taarifa ni kwamba mwishoni mwa wiki tutampeleka Afrika Kusini kwa ajili ya kwenda kufanyiwa upasuaji, ameumia kifundo cha mguu. Baada ya upasuaji tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusema atakuwa nje kwa muda gani. Kwa upande wa Yakubu Suleiman maendeleo ni mazuri na muda wowote atarejea kikosini."- Semaji Ahmed Ally.

πŸͺ€Ratiba ya group Stage Kundi D
04/11/2025

πŸͺ€Ratiba ya group Stage Kundi D

Mwaka 1899, klabu ya Kiitaliano AC Milan ilianzishwa. K**a ilivyokuwa kwa klabu nyingi za Italia wakati huo, uongozi wa ...
28/10/2025

Mwaka 1899, klabu ya Kiitaliano AC Milan ilianzishwa. K**a ilivyokuwa kwa klabu nyingi za Italia wakati huo, uongozi wa Milan uliamua kutokuruhusu wachezaji wa kigeni kujiunga na timu yao.

Baadhi ya viongozi wa klabu hiyo hawakukubaliana na uamuzi huo na walijaribu kuupinga, lakini walishindwa. Kutokana na hilo, walijitenga na AC Milan, na mwaka 1908 wakaamua kuanzisha klabu mpya waliyoipa jina β€œInternazionale”, likiwa na maana ya β€œYa Kimataifa”, kuonyesha kuwa walikuwa wazi kwa wachezaji wa mataifa yote bila ubaguzi.

Hivyo ndivyo hadithi ya moja ya upinzani mkubwa zaidi katika historia ya soka ilivyoanza β€” Derby della Madonnina, inayojulikana pia k**a β€œDerby ya Hasira”, kati ya AC Milan na Inter Milan.

Timu ya kwanza nchini kufuzu mara saba kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF (Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la S...
27/10/2025

Timu ya kwanza nchini kufuzu mara saba kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF (Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika).

Kongole Mwanariadha wetu Alphonce Simbu kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Wanariadha wa Michezo ya Nje ya Uwanjani (Out of t...
27/10/2025

Kongole Mwanariadha wetu Alphonce Simbu kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Wanariadha wa Michezo ya Nje ya Uwanjani (Out of the Stadium Athlete of the Year).

Nawaombeni Watanzania twendeni kwenye ukurasa wake wa instagram ambao ni na katika ukurasa wa na kisha LIKE katika post ya picha yake ili kumpigia kura.

Hili tunaweza, Simbu ametuletea medali ya dhahabu na sasa tumwezeshe atuletee Tuzo ya Dunia.

Twende sasa.

Michezo hii ni; Road Races na Race Walking

𝟭𝟲 π—­π—œπ—§π—”π—žπ—”π—­π—’π—–π—›π—˜π—­π—” π—šπ—₯𝗒𝗨𝗣 π—¦π—§π—”π—šπ—˜ 𝗖𝗔𝗙 π—–π—’π—‘π—™π—˜π——π—˜π—₯π—”π—§π—œπ—’π—‘ 𝗖𝗨𝗣 π— π—¦π—œπ— π—¨ 2025/26  . πŸ₯°
27/10/2025

𝟭𝟲 π—­π—œπ—§π—”π—žπ—”π—­π—’π—–π—›π—˜π—­π—” π—šπ—₯𝗒𝗨𝗣 π—¦π—§π—”π—šπ—˜ 𝗖𝗔𝗙 π—–π—’π—‘π—™π—˜π——π—˜π—₯π—”π—§π—œπ—’π—‘ 𝗖𝗨𝗣 π— π—¦π—œπ— π—¨ 2025/26 . πŸ₯°

Historia imeandikwa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27/10/2025

Historia imeandikwa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸͺ€πŸ¦Tumetinga kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
26/10/2025

πŸͺ€πŸ¦Tumetinga kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE
26/10/2025

CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE

EL-CLASICO
26/10/2025

EL-CLASICO

Kipindi cha pili kimeanza.
26/10/2025

Kipindi cha pili kimeanza.

Mapumziko.
26/10/2025

Mapumziko.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIMBA YETU JAMII YETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category