10/06/2026
Asanteni kwa kuwa sehemu ya Cape to Cairo Arusha International Marathon 2026!
Kutoka kwa washiriki, wadhamini, washirika, viongozi, wajitolea na mashabiki wote mliojitokeza kuunga mkono tukio hili, tunawashukuru kwa dhati.
Ushiriki, nguvu na ari yenu ndiyo iliyofanya mbio hizi kuwa zaidi ya mashindano; kuwa jukwaa la kuunganisha michezo, utalii na jamii.
Asanteni kwa kutembea nasi, kukimbia nasi na kuandika historia pamoja nasi.
Tukutane tena mwaka ujao Tarehe 30/05/2026! ❤️
.drinking.watertz .n.white .tz @
#