Zubeda Sakuru Simba

Zubeda Sakuru Simba Habari za michezo kutoka bongo za simba sc

Simba CEO Zubeda Hassan Sakuru πŸ”₯πŸ”₯
23/11/2024

Simba CEO Zubeda Hassan Sakuru πŸ”₯πŸ”₯

Klabu ya Simba imetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Francois Regis kutokana na sababu zilizo nj...
23/11/2024

Klabu ya Simba imetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Francois Regis kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao na kumtangaza Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu

Taarifa ya Simba imeeleza Zubeda yuko mbioni kuhitimu Shahada ya Uzamivu, ana Shahada mbili za Uzamili katika Utawala wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Warwick, Uingereza na Chuo Kikuu cha Mzumbe Tanzania, pia ana Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe

Kabla ya kuteuliwa Zubeda alikuwa Meneja Miradi wa Simba akisaidia mchakato wa kutengeneza Sera na Ushauri wa Masuala ya Kiutendaji

Follow Zubeda Sakuru Simba

🚨| UPDATE: PHILIPPE KINZUMBIWinga wa klabu ya TP Mazembe, Philippe Kinzumbi ameuambia Uongozi wake wa TP Mazembe kuwa an...
26/09/2024

🚨| UPDATE: PHILIPPE KINZUMBI

Winga wa klabu ya TP Mazembe, Philippe Kinzumbi ameuambia Uongozi wake wa TP Mazembe kuwa anahitaji kucheza soka katika ukanda wa Afrika Mashariki ( Tanzania ) kuelekea msimu ujao wa 2024/25.

Licha ya TP Mazembe kumpa taarifa Philippe Kinzumbi kuwa vilabu vya Club Africain na MC Alger zimepeleka ofa rasmi kwa Kunguru wa Lubumbashi ili kupata huduma ya mchezaji huyo ambaye amekuwa na msimu bora sana lakini amekataa kwenda kucheza soka Uarabuni.

Simba Sc Wanaendelea Kufanya Mpango wa Kumpata Lakini pia Baada Yanga kusikia Story zake nao wakaanza Kumfuatilia na mazungumzo na TP Mazembe mwanzoni mwa wiki ijayo ili kuipata saini ya Philippe Kinzumbi na kulingana na uhusiano wa karibu baina ya vilabu hivi viwili basi watakuwa na wakati mzuri wa kumpata Kinzumbi ambaye amekubali kucheza Afrika Mashariki.

Vinara wa Mabao katika Ligi Kuu ya NBC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ mpaka sasaβœ… Valentino Mashaka 0️⃣2οΈβƒ£βœ… Steven Mukwala 0️⃣1οΈβƒ£βœ… Awesu Awesu 0️⃣1️...
26/08/2024

Vinara wa Mabao katika Ligi Kuu ya NBC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ mpaka sasa

βœ… Valentino Mashaka 0️⃣2️⃣
βœ… Steven Mukwala 0️⃣1️⃣
βœ… Awesu Awesu 0️⃣1️⃣
βœ… Heritier Makambo 0️⃣1️⃣
βœ… Jean Charles Ahoua 0️⃣1️⃣

Vinara wa Assists

βœ… Jean Charles Ahoua 0️⃣3️⃣
βœ… Mohamed Hussein 0️⃣2️⃣
βœ… Heritier Makambo 0️⃣1️⃣
βœ… Djuma Shabani0️⃣1️⃣

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Follow page yetu BabrBabra simba

26/08/2024

Goli la Mukwala πŸ”₯πŸ”₯

26/08/2024

MVP πŸ”₯πŸ”₯ goli la Jean Ahoua

𝗠𝗩𝗣 𝗔𝗛𝗒𝗨𝗔Jean AHOUA mechi ya pili GOAL 1 ASSIST 3πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒLike page yetu kwa taarifa zaidi za simba sc
26/08/2024

𝗠𝗩𝗣 𝗔𝗛𝗒𝗨𝗔

Jean AHOUA mechi ya pili GOAL 1 ASSIST 3πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™Œ

Like page yetu kwa taarifa zaidi za simba sc

Address

P. O. BOX 1473
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zubeda Sakuru Simba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category