Norbert Hongoli

Norbert Hongoli Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Norbert Hongoli, Sports, Karatu, Arusha.

PM Lumen Radio
Football Announcers
Sports Pundit
General Coordinator TFF/TPLB
Media Officer ARFA
FIFA Grassroots & CAF Diploma D
Fahari ya soka la mtaa
Njombe Finest
Mc Hongoli

Asanteni Shule ya Karatu New Vision kwa kuniamini Mc Hongoli Kusherehesha mahafali ya tatu ya Darasa la Saba hakika ilif...
28/08/2026

Asanteni Shule ya Karatu New Vision kwa kuniamini Mc Hongoli Kusherehesha mahafali ya tatu ya Darasa la Saba hakika ilifana sana hadi wakati mwingine tena.

Graduation team
Music The Real dj
Photographer📸 Richard Julius
Catering

28/08/2026

Sio kwa ubaya lakini Kwanini huyu Jamaa afangue Champagne 🍾 kwa style hii 😀

Asante Mungu Nimetimiza Mwaka Mmoja kwenye kazi ya u-Mc Mungu ni Mwema sana Mwaka Mmoja wa kujitafuta,kujifunza,Kukua na...
27/08/2026

Asante Mungu Nimetimiza Mwaka Mmoja kwenye kazi ya u-Mc Mungu ni Mwema sana Mwaka Mmoja wa kujitafuta,kujifunza,Kukua na baadae Matokeo.

Kwenye Safari hii nipende kuwashukuru Wadau wote walioniamini kwenye kazi/Sherehe zao ikiwemo Harusi,Send Off,Mahafali,Engagement,Misiba,harambee,Shughuli za Kiserekali Nk.

Shukran za Kipekee ziende kwa Dj Wangu Godwell Mbise The Real dj ambae amekuwa anafanya kazi kwa kujituma wakati wote,hata Video au Posta zote yeye ndio anazianda 🙏

Niwashukuru Wapiga picha wote ambao nimeshafanyanao kazi,Pia niwashukuru Ma Mc’s ambao wamekuwa wakinipa ushauri mara kwa mara ya kuenenda katika kazi hii. Watu wa Sound hakika ilikuwa safari nzuri sana Asanteni.

Niwaahidi ya kwamba nitaendelea kufanya kazi kwa bidii ubunifu wa hali ya juu na kuzingatia Misingi ya kazi hii yenye ushindani mkubwa.

Kwenye mafanikio hapakosekani Changamoto Naomba unishauri chochote katika mwaka wangu mmoja wa kazi ya Mc ilinizidi kuwa bora zaidi.

MC HONGOLI NIITE NAMI NITAKUITIKIA
0750704851.

WHAT A LOVE ❤️ 💍Huu hapa Usingizi wa Aggy rasmi sasa ni Mr & Mrs Erick Luanda Agness Michael Send Off Highlights Mc Hong...
25/08/2026

WHAT A LOVE ❤️ 💍

Huu hapa Usingizi wa Aggy rasmi sasa ni Mr & Mrs Erick Luanda

Agness Michael Send Off Highlights

Mc Hongoli
0750704851

Photo 📸 Richard Julius
Dress Bellah Couture
Makeup MKONO WA DHAHABU
Music Master The Real dj

Picha za boss wangu Agness Katika siku yake ya SendOff Slide namba ngapi imekubamba.📸 Richard Julius
25/08/2026

Picha za boss wangu Agness Katika siku yake ya SendOff

Slide namba ngapi imekubamba.

📸 Richard Julius

Picha za Kazini kwangu Leo Polisi Tanzania dhidi ya JKT Tanzania,Mungu ni mwema tumemaliza salama tukutane mechi ijayo T...
20/08/2026

Picha za Kazini kwangu Leo Polisi Tanzania dhidi ya JKT Tanzania,Mungu ni mwema tumemaliza salama tukutane mechi ijayo TRA United vs Dodoma Jiji.
📸 FADHIL IBRAHIM

MAJESHI DABI🙌  Imempendeza Mwenyezi Mungu nimeteuliwa na Bodi ya ligi kuu kusimamia na kuratibu mchezo wa ligi kuu namba...
20/08/2026

MAJESHI DABI🙌 Imempendeza Mwenyezi Mungu nimeteuliwa na Bodi ya ligi kuu kusimamia na kuratibu mchezo wa ligi kuu namba 14 kati Polisi Tanzania dhidi ya JKT Tanzania inayopigwa leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
IMANI INALIPWA KWA UWEZO

Siku ya kwanza kazini nimeteuliwa na bodi ya ligi kuu kusimamia na kuratibu mchezo wa ligi kuu ya Nbc kati ya Polisi Tan...
15/08/2026

Siku ya kwanza kazini nimeteuliwa na bodi ya ligi kuu kusimamia na kuratibu mchezo wa ligi kuu ya Nbc kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Azam Fc utakaochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid,imani inalipwa na uwezo tukutane Uwanjani.

12/08/2026

Wale Wachaga wa Kibosho Marangu,Rombo,Machame yaani wale kinaShirima,Masawe,Mushi,Waramba,Shayo,Msuya,Lyimo,Kimaro,Urassa,Swai,Macha,Minja,Mrema,Lema tujauane kwenye Comment.

For Booking
Mc Hongoli 0750704851

Leo nimeshiriki warsha ya waratibu wa mchezo (General coordinator) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa NSSF Mafao House Ilala ...
10/08/2026

Leo nimeshiriki warsha ya waratibu wa mchezo (General coordinator) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa NSSF Mafao House Ilala Dar Es salaam,iliyoandaliwa na TFF kwa kushirikiana na bodi ya ligi kuu (TPLB). Asanteni sana TFF & TPLB kwa Semina Nzuri sasa Nipo tayari kuanza msimu mpya wa mashindano 2026/27 tukutane uwanjani.
📸 Honest Amon Mwanitega

Address

Karatu
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Norbert Hongoli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Norbert Hongoli:

Shortcuts

Share

Category