03/06/2025
π΄π΄π΄ππππππ ππ πππππππ ππππππ.πππππ βββ
π¨Manchester United wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Ureno na Sporting Pedro Goncalves, 26, k**a mbadala wa kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes, 30, ikiwa atahamia Saudi Arabia msimu huu.
Chanzo: Sunday Mirror)
π¨Bayern Munich wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza na Crystal Palace Eberechi Eze, 26, baada ya mafanikio ya msimu wa kwanza wa kiungo wa kati wa Ufaransa Michael Olise akiwa na klabu hiyo ya Ujerumani.
Chanzo:Football Insider)
π¨Crystal Palace ingependa Eze atie saini mkataba mpya nao licha ya vilabu vingine vya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal, Tottenham na Manchester City kumtaka.
Chanzo: The I paper)
π¨Winga wa Liverpool Mholanzi Cody Gakpo, 26, na winga wa Brighton Mjapani mwenye umri wa miaka 28 Kaoru Mitoma pia wako kwenye orodha ya wachezaji wanaolengwa na Bayern Munich.
Chanzo:Christian Falk)
π¨Mshambuliaji wa Brazil Rodrygo, 24, ameiambia Real Madrid kwamba anataka kusalia katika klabu hiyo licha ya vilabu mbalimbali vya Ligi ya Premia kumtaka.
Chanzo:Marca -in Spanish)
π¨Manchester City itawasilisha ombi la ufunguzi kwa kiungo wa kati wa Lyon na Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 Rayan Cherki, 21, wiki hii.
Chanzo:Fabrizio Romano)
π¨Arsenal wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa mabingwa wa Italia Napoli kwa mshambuliaji wa Sporting na Uswidi Viktor Gyokeres, 26.
Chanzo:Star on Sunday)
π¨Mustakabali wa Ange Postecoglou k**a mkufunzi wa Tottenham unatarajiwa kuamuliwa wiki ijayo huku nafasi ya Muaustralia huyo mwenye umri wa miaka 59 ikiwa katika hatari kubwa licha ya kushinda Ligi ya Europa.
Chanzo : Sunday Telegraph )
π¨Kiungo wa kati wa Uhispania Rodri atapewa kandarasi mpya na Manchester City, huku klabu hiyo ikitamani kutambua hadhi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 k**a mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani.
Chanzo: Sunday Mirror)
π¨Barcelona itafuatilia tu nia yao ya kumnunua fowadi wa Manchester United na Muingereza Marcus